Wanavyofanya Musukuma na Polepole ni ushahidi wa ukomavu wa Rais Samia kisiasa

Nurse umegeukia siasa? Haya mambo waachie wenyewe.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
WaCha pia ni kuelimishe kwenye hili nalo. Nurses ni watoto wa nchi hii pia, wamesoma civics kuanzia primary hadi chuo kikuu kuna developmental studies, nadhani wanasoma wanafunzi wote. Ulipoandika huu upuzi wako hapa nikaenda kuangalia curriculum za nurses chuo kikuu, aisei waombe radhi, Wana kozi za uongozi, ujasiliamali, falsafa, socialogy, psychology ambazo baadhi ya kozi za afya hawana. Sikuona sababu ya post yako hii.

Lakini, kumbuka pia kuwa Wauguzi ni Ile kada kwenye watumishi wa afya ambayo inahangaika na tupu za mama zetu ili sisi tuzaliwe salama, hata wewe kama ulizaliwa hospital basi nurses walisababisha mamayo ajifungue salama mtoto wewe na kuendelea na clinic yako hadi miaka 5 ya maangalizi ya ukuaji wako na chanjo, na hata wakati unatahiriwa na nurse alihusika sana na wewe. Nadhani nurses tusiwaondoe kwenye kufanya siasa.

Changia hoja lakini sio taaluma, taaluma zote zinategemeana, maana hakuna operation kwa mgonjwa itafanyika bila surgeon, bila muuguzi, bila mtu wa maabara, bila mtu wa usingizi, bila mfamasia na bila mtu wa usafi kusafisha mazingira, hivyo hakuna taluma iliyo superior wala inferior kwa nyingine, itategemea unihitaji wakati gani.
 

Similar Discussions

27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom