Wanavyofanya Musukuma na Polepole ni ushahidi wa ukomavu wa Rais Samia kisiasa

Umeigomea wewe sio watanzania. Juzi nilikutana na mtu anaitafuta chanjo hata kwa kulipa laki 5 achanjwe, maana anataka kusafiri na bila chanjo hapewi hata booking ya ndege achilia mbali Visa
Wewe mbumbumbu tu,michanjo Sasahivi wanakuletea Mpaka nyumbani tena wanakubembeleza,leo hii unasema kuna mtu anatafuta chanjo kwa laki 5😁😀😃kweli wajinga awataisha Tanzania
 
Hao jamaa sipendi politics zao na CCM yao lakini kwani tatizo liko wapi wakipinga? lazima utakuwa CCM wewe na akili zenu za ovyo ovyo, acha watu watoe maoni/mawazo yao bila kuwafikiria ni wanafiki au maadui, nchi ya wote hiyo acha waongee, kibaya ni kubambikizia watu kesi, kuteka na kuua
 
Hujui ongealo nimeshasafiri mwanzoni mwa mwezi huu na hiyo ticket
Kama walikukubalia uingie nchini kwao bila kufuata maelekezo ya kwenye tiketi fahamu kuwa walikufananisha na nyani kuwa huna akili kamili ya kufuata instructions. Kule Ulaya na Marekani nimekuta ustaarabu wa kuingia kwenye madaladala kwa foleni, yaani aliyefika kituo Cha daladala kwanza ndiye atakaekuwa wa kwanza kuingia kwenye. Mimi na wenzangu wa bongo na Zambia hatukuujua utaratibu huu, tulizoea kwetu mbadala tukaingia ndani bila kufuata utaratibu ule, hakika wenyeji waliduaa ni akina nani hawa na wametoka wapi washamba hawa. Walivyoingia kwenye gari hawakukubali kukaa na sisi kwenye siti, hawatuamini kama tuna akili timamu.

Kaka hata wewe walikuona kima kama ulichofanya kilitofautiana na kilichomo kwenye tiketi yako.
 
Wewe mbumbumbu tu,michanjo Sasahivi wanakuletea Mpaka nyumbani tena wanakubembeleza,leo hii unasema kuna mtu anatafuta chanjo kwa laki 5😁😀😃kweli wajinga awataisha Tanzania
Kuna watu hawana muda wa kwenda kwenye chanjo iliko. Mkiomba mnaletewa kazini kama mko wengi.
 
Hao jamaa sipendi politics zao na CCM yao lakini kwani tatizo liko wapi wakipinga? lazima utakuwa CCM wewe na akili zenu za ovyo ovyo, acha watu watoe maoni/mawazo yao bila kuwafikiria ni wanafiki au maadui, nchi ya wote hiyo acha waongee, kibaya ni kubambikizia watu kesi, kuteka na kuua
Awamu ya Tano hawakuona Cha kupinga?
 
Kama walikukubalia uingie nchini kwao bila kufuata maelekezo ya kwenye tiketi fahamu kuwa walikufananisha na nyani kuwa huna akili kamili ya kufuata instructions. Kule Ulaya na Marekani nimekuta ustaarabu wa kuingia kwenye madaladala kwa foleni, yaani aliyefika kituo Cha daladala kwanza ndiye atakaekuwa wa kwanza kuingia kwenye. Mimi na wenzangu wa bongo na Zambia hatukuujua utaratibu huu, tulizoea kwetu mbadala tukaingia ndani bila kufuata utaratibu ule, hakika wenyeji waliduaa ni akina nani hawa na wametoka wapi washamba hawa. Walivyoingia kwenye gari hawakukubali kukaa na sisi kwenye siti, hawatuamini kama tuna akili timamu.

Kaka hata wewe walikuona kima kama ulichofanya kilitofautiana na kilichomo kwenye tiketi yako.
Hujui uongelo unapiga upwagu tu kwa stori za vijiweni.
 
He, nurse!!! Umeishiwa hoja, ni mtu wa taaluma gani hairuhusiwi kufanya siasa? Kweli elimu yetu imeshuka sana, hata wasomi hawawezi kujenga hoja.
Sisi Manurse huwa hatupendi siasa, nionyeshe waziri nurse nikupe historia ya madaktari marais, walimu marais.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Awamu ya Tano hawakuona Cha kupinga?
So what, mambo yanabadilika na uhuru wa maoni unabaki pale pale ni haki yao kuongea, na kwa story yako ya kituo cha basi ulaya inaonekana hukujifunza lolote umebaki na unyani wako
 
sipendi kutumia lugha nguvu sana, lakini itoshe tu kusema zile chanjo zilichukua mda mrefu kidogo baada serikali kuwakatalia watu wenye akili nyingi kutaka kuzimaliza siku hiyohiyo. Siku ya kwanza tu baada ya ufunguzi ilionekana misululu mirefu sana ya watu wenye upeo kutaka kuchanja. bahati mbaya au nzuri serikali ikatoa maagizo kwamba ambao sio watanzania wasipewe chanjo hizi za msaada kwa watanzania. Hivyo wale watanzania wenye akili nyingi sana walipanga misululu mirefu kupatiwa chanjo, hivyo zikabaki zile ambazo zilipelekwa mikoani walikozaliwa akina gwajiboy ambako hata leo wamekataa kutumia hata vyoo sembuse chanjo ambayo kijana wao msomi Gwajima wanaemwamini anawaambia kuwa ameoteshwa kuwa chanjo zitawageuza kuwa mazombie. Nakuhakikishia mpaka sasa unaweza kuwa na sh.1,000,000 na usipate chanjo kwa urahisi kama vile. Na hii ni baada ya watu kuwapuuza wapiga lamli na kuwaamini wale waliopata chanjo na wako salama usalimini mitaani wanaishi nao na kunywa nao wisky.
nimecheka saana, huu ni uongo ambao hata mtoto anashitukaa lol.
 
Hahahaha yote uliyotaja 1-6,hakuna linalogusa moja kwa moja wapiga kura ambao ndo huamua Nani apite.

Hizi ni hoja za ujuajijuaji wa JF.

Kama chanjo siyo issue mbona Watanzania wameigomea?
Kama wamachinga siyo issue subiri 2025.
Kura kwa ccm unajidanganya,hivi gwajima alishinda kawe?
We endelea kusubiri eti chinga watamkomesha mama kwenye sanduku la kura!
 
Kuna watu wanapanga kabisa kuwa 2025 atapigwa chini ila wanasahau ya kuwa imani za wengine ni kushukuru kama siku imepita ya leo
 
Wajitahidi wamrudishe mwendazake kama haiwezrkani wamfuate ameshakuwa kiranja huko aliko
 
Similar Discussions

27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom