Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,272
- 2,419
Vijana wenzangu ambao tumefanya kazi pamoja katika mikoa mbali mbali naomba mnielewe kwa ili.Nimefanya kazi kuanzia bado niko Chuo 2007 mpaka 2010 na kuendelea nakazi mbali mbali za chama huku nikiwa nimehaidiwa nafasi mbali mbali asa ukatibu mkoani au ukuu wa wilaya lakini mpaka leo ilo limeshindwa kutekerezwa pamoja nakujitoa kwangu kote mpaka kuhatarisha maisha yangu.
Mwaka 2015 nilikua mmoja wa vijana wa ccm ambae alipewa jukumu la kutafuta kura mkoa wilaya tano Bukoba,Muleba,Misenyi na Karagwe jumla ya majimbo saba.Kweli chama kiliniwezesha kiasi flani na mimi pia nilijitoa huku nikihaidiwa nafasi ya ukuu wa wilaya hii ikiwa ni mara ya tatu ila naona mambo ni yale yale.
Sasa naomba radhi vijana wenzangu UVCCM na CCM kwa ujumla kua nimeachana na siasa za CCM kutumika kama daraja au kopo kisha natupwa.Nimehamua kulima zaidi ili niweze kujikimu baada ya kutumia hela yangu na nguvu kwa hasara. Kwasasa sijachagua chama chochote maana inawezekana vyote vinafanana.
Mimi
Alex Kalwani
S.L.P 127
BUKOBA
O757297941/3/4/7/