WanaUvccm na CCM naomba mnielewe kwa hili

Bishweko

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
2,560
2,000
Vijana wenzangu ambao tumefanya kazi pamoja katika mikoa mbali mbali naomba mnielewe kwa ili.Nimefanya kazi kuanzia bado niko Chuo 2007 mpaka 2010 na kuendelea nakazi mbali mbali za chama huku nikiwa nimehaidiwa nafasi mbali mbali asa ukatibu mkoani au ukuu wa wilaya lakini mpaka leo ilo limeshindwa kutekerezwa pamoja nakujitoa kwangu kote mpaka kuhatarisha maisha yangu.

Mwaka 2015 nilikua mmoja wa vijana wa ccm ambae alipewa jukumu la kutafuta kura mkoa wilaya tano Bukoba,Muleba,Misenyi na Karagwe jumla ya majimbo saba.Kweli chama kiliniwezesha kiasi flani na mimi pia nilijitoa huku nikihaidiwa nafasi ya ukuu wa wilaya hii ikiwa ni mara ya tatu ila naona mambo ni yale yale.

Sasa naomba radhi vijana wenzangu UVCCM na CCM kwa ujumla kua nimeachana na siasa za CCM kutumika kama daraja au kopo kisha natupwa.Nimehamua kulima zaidi ili niweze kujikimu baada ya kutumia hela yangu na nguvu kwa hasara. Kwasasa sijachagua chama chochote maana inawezekana vyote vinafanana.

Mimi
Alex Kalwani
S.L.P 127
BUKOBA
O757297941/3/4/7/
 
Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,430
2,000
Aah naona Mange amewapa njia ...kumbe mko wengi .Ila sasa wewe na Elimu yako kabisa unakua mwanaccm na kutumia hela yako ...Karibu ujiunge na serikali mbadala
 
Rk10

JF-Expert Member
Apr 6, 2015
1,210
2,000
Karibu sasa umeingia kwenye kundi la vijana wenye akili nzuri na waojielewa.
 
Kalamu Yangu

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
1,031
2,000
Aisee unajishughulisha na kilimo gani?

Huko chuo ulisomea ukuu wa wilaya?

Vipi ulifanikisha kupata hizo kura ulizokuwa ukizitafuta?

Ni maamuzi mema uliyoyachukua, ni vyema kujua kama unakosea kuliko kutojua kama unakosea

Karibu kwenye kilimo nipo mwaka wa nne huku ila usijekikana kilimo kikikugomea ukaja kukichafua hapa jukwaani.

Kilimo si lelemama pia.
 
Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,430
2,000
Inawezekana alianza kutoa siri za chama mapema na chama wakamgundua sasa hizo ahadi zikaota mbawa ..
 
Magimbi

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
1,383
2,000
Vijana wenzangu ambao tumefanya kazi pamoja katika mikoa mbali mbali naomba mnielewe kwa ili.Nimefanya kazi kuanzia bado niko Chuo 2007 mpaka 2010 na kuendelea nakazi mbali mbali za chama huku nikiwa nimehaidiwa nafasi mbali mbali asa ukatibu mkoani au ukuu wa wilaya lakini mpaka leo ilo limeshindwa kutekerezwa pamoja nakujitoa kwangu kote mpaka kuhatarisha maisha yangu.

Mwaka 2015 nilikua mmoja wa vijana wa ccm ambae alipewa jukumu la kutafuta kura mkoa wilaya tano Bukoba,Muleba,Misenyi na Karagwe jumla ya majimbo saba.Kweli chama kiliniwezesha kiasi flani na mimi pia nilijitoa huku nikihaidiwa nafasi ya ukuu wa wilaya hii ikiwa ni mara ya tatu ila naona mambo ni yale yale.

Sasa naomba radhi vijana wenzangu UVCCM na CCM kwa ujumla kua nimeachana na siasa za CCM kutumika kama daraja au kopo kisha natupwa.Nimehamua kulima zaidi ili niweze kujikimu baada ya kutumia hela yangu na nguvu kwa hasara. Kwasasa sijachagua chama chochote maana inawezekana vyote vinafanana.

Mimi
Alex Kalwani
S.L.P 127
BUKOBA
O757297941/3/4/7/
Ila Lizaboni huyu bwana ni Alex Kalwani wa SLP S.L.P 127 BUKOBA namba yake ni hiyo..O757297941/3/4/7/. Nadhani sio huyo bwana anonymous.. Aliotumia jina bandia. Hebu jaribu kuangalia hiyo verification. Asante
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom