SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,030
Unakuta askari Wa usalama barabarani anaendesha gari yeye mwenyewe hajafunga mkanda utadhani yeye itapotokea ajali mkanda hauwezi kumsaidia,Ila wapo mstar wa mbele kukamata madereva wasofunga mikanda
Wengine wanaendesha pikipik hawajavaa kofia ngumu hasan wale wanaotumia pikpk binafsi lakin mda huko wako Ndani ya uniform,ila madereva toyo tu ndio wanabanwa na sheria hiyo
Kundi la mwisho linaovunja kabisa sheria na kutojua ipo siku watakuja kupata hasara kubwa itapotokea ajali ni hawa maaskari wanaosambazwa jion kwenda kulinda mabenk hasa huku mikoani nimeona tabia ya kukuta wamelundikamana kwenye gar mpaka wengine wananin'ginia mlangoni na gari ikiwa inaendeshwa kasi utadhan wao ikitokea mmoja akateleza bahat mbaya atakuwa haumii.
Najiuliza sana mbona daladala zinakatazwa zisijaze lakin wao wanaotoa haya maagizo ndio viongozi wa kupindisha hizi sheria,Polisi imefika wakati lazima muonyeshe mfano wa kuigwa,jitahidini kuwaongezea magari hawa police kama mlivyojitahidi kununua magari ya washawasha kwani kitengo hichi ni muhimu sana kwa ulinzi wa mali zetu na pesa zetu