Wanausalama angazieni maeneo ya Tanga, Mkata na chalinze kuna movement sana usiku

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Nimwezi mmoja Tangu nitoke mkoani kuja hapa Dar es Salaam kwa njia ya basi. Safari ilikuwa ndefu sana ila tulipo fika Maeneo flani ya mkata kuna watu ambao kwa asilimia kubwa nilihisi ni wahalifu kwasababu ya muonekano wao na sms alizokuwa anatuma na simu walizokuwa wanapiga.

Kwa kweli mimi ni muoga sana hasa baada ya mauwaji garissa sasa nilivyoona wallpaper ya simu ina picha osama bin laden ikabidi nikaze macho kijanja kujua anaandika nini nikagungua kuna plan walikuwa waanafanya lakini ikashindikana. Nia yao moja ilikuwa ni kukutana chalinze lakini gari likapitia bagamoyo na kufanya wale kurudi wakutafuta malazi msikitini cause bosi wao ndio alikuwa kwenye gari na alikuwa hana mpesa ya kutuma pesa kwa wakati huo.

Nimeunganisha haya matukio cause nimesikia mauaji ya mwenyekiti wa kijiji huko Tanga hapahapa jamiiforum nikasema hapana hebu ngoja niandike hapa labda wasiwasi wangu ni wa ukweli .

Wahusika Muangalie vizuri hii mikoa labda lisemwalo lipo maana hali ni ngumu ya maisha watu wanatafuta pesa kwa kila namna.
 
Nimwezi mmoja Tangu nitoke mkoani kuja hapa Dar es Salaam kwa njia ya basi. Safari ilikuwa ndefu sana ila tulipo fika Maeneo flani ya mkata kuna watu ambao kwa asilimia kubwa nilihisi ni wahalifu kwasababu ya muonekano wao na sms alizokuwa anatuma na simu walizokuwa wanapiga.

Kwa kweli mimi ni muoga sana hasa baada ya mauwaji garissa sasa nilivyoona wallpaper ya simu ina picha osama bin laden ikabidi nikaze macho kijanja kujua anaandika nini nikagungua kuna plan walikuwa waanafanya lakini ikashindikana. Nia yao moja ilikuwa ni kukutana chalinze lakini gari likapitia bagamoyo na kufanya wale kurudi wakutafuta malazi msikitini cause bosi wao ndio alikuwa kwenye gari na alikuwa hana mpesa ya kutuma pesa kwa wakati huo.

Nimeunganisha ya matukio cause nimesikia mauaji ya mwenyekiti wa kijiji huko Tanga hapahapa jamiiforum nikasema hapana hebu ngoja niandike hapa labda wasiwasi wangu ni wa ukweli .

Wahusika Muangalie vizuri hii mikoa labda lisemwalo lipo.
Sasa ndegeee,mbona ni kama Taarifa yenyewe umeichelewesha.Na pia kwa nini hukupeleka hii habari kwenye vyombo vya usalama hata kwa kuwapigia simu.Ila hongera kwa Uzalendo,tunapashwa kukuiga
 
Unatakiwa uwasiliane na vyombo husika vya usalama.
Usiishie kupost hapa jukwaani.
Wakipata taarifa ya gari, mida na mahali ulipokuwa pamoja na maelezo yako ya mwonekano wa mtuhumiwa (description) hiyo inasaidia sana kutanzua mambo kama haya.
 
Muonekano ni uleule tu kama kawaida sema hawa nguo zao zimechakaa kidogo na wote watatu simu zao zilikuwa zimezima walivyoingia ndio wakawasha simu. Serikali ina mikono mirefu brother labda ni wasiwasi wangu tu kutokana na uoga wangu nikaambiwa thibitisha nikashindwa kuthibitisha.
 
Nimwezi mmoja Tangu nitoke mkoani kuja hapa Dar es Salaam kwa njia ya basi. Safari ilikuwa ndefu sana ila tulipo fika Maeneo flani ya mkata kuna watu ambao kwa asilimia kubwa nilihisi ni wahalifu kwasababu ya muonekano wao na sms alizokuwa anatuma na simu walizokuwa wanapiga.

Kwa kweli mimi ni muoga sana hasa baada ya mauwaji garissa sasa nilivyoona wallpaper ya simu ina picha osama bin laden ikabidi nikaze macho kijanja kujua anaandika nini nikagungua kuna plan walikuwa waanafanya lakini ikashindikana. Nia yao moja ilikuwa ni kukutana chalinze lakini gari likapitia bagamoyo na kufanya wale kurudi wakutafuta malazi msikitini cause bosi wao ndio alikuwa kwenye gari na alikuwa hana mpesa ya kutuma pesa kwa wakati huo.

Nimeunganisha ya matukio cause nimesikia mauaji ya mwenyekiti wa kijiji huko Tanga hapahapa jamiiforum nikasema hapana hebu ngoja niandike hapa labda wasiwasi wangu ni wa ukweli .

Wahusika Muangalie vizuri hii mikoa labda lisemwalo lipo.

We ni mpuuzi na wakukamatwa,,bilashaka we ndio muhalifu mkuu,,,unatuletea hadithi zako za kutungwa,au umetumwa na nchi jirani kuonyesha nchi yetu ina chembe chembe za ugaidi ili kukimbiza wageni
 
Wala si magaidi! ndugu yangu hisia zako tu wale ni wahalifu tu maana hata ukiwaona utawahurumia. Mbona wauza unga wanaweka picha ya pablo kwenye simu zao? Hapana mimi najua magaidi wale wanatafuta pesa ya kula ni mjambazi.
 
Muonekano ni uleule tu kama kawaida sema hawa nguo zao zimechakaa kidogo na wote watatu simu zao zilikuwa zimezima walivyoingia ndio wakawasha simu. Serikali ina mikono mirefu brother labda ni wasiwasi wangu tu kutokana na uoga wangu nikaambiwa thibitisha nikashindwa kuthibitisha.
Umefanya kitendo cha kijasiri sana na kizalendo kuweza kupost na kutoa tahadhari.
Vyombo vya dola huwa vina vitengo maalum kwa ajili ya mambo kama haya na watakusilikiza vizuri tu.
 
1476336143561.jpg
 
Huyu ndege huwaga ni mnafiki nafiki sana,hiyo habari katunga,maana anavyoeleza ni kama story nzima wakati anasema alibahatisha kuona message,sasa sijui aliunganishaje dot hadi kaja na full story
 
Kaka huu ni mwezi mzima nimekaa kimya maana sina uhakika na chochote ila baada ya kusikia mauwaji ya jana nikasema hapana hebu ni wambie watanzania labda kila mtu ataaanza kuchukua taadhari maana uhai ukishapotea hakuna cha kufanya tena. Siku ile ile nilimwambia mke wangu akanicheka sana cause anajua mimi ni mwoga sana.
 
Unatuletea story za kweny muvi mpumbavu tu ww heb kajarb kutunga nyngne. Kama kuna ukwel kwann usingestua hata abiria wenzako? Ulitaka mtekwe ndo useme nlijua mm? Acha kuendesha chuki za kipuuz za kidini hum ndani.
Mm naamin kila mtu anaogopa hayo matukio so kama ungewaambia abiria wenzako wangewabananisha na kuwakamata

MJOMBA MPUUZI ANDIKA NYINGINE HII TUMEISTUKIA
 
Unatuletea story za kweny muvi ******** tu ww heb kajarb kutunga nyngne. Kama kuna ukwel kwann usingestua hata abiria wenzako? Ulitaka mtekwe ndo useme nlijua mm? Acha kuendesha chuki za kipuuz za kidini hum ndani.
Mm naamin kila mtu anaogopa hayo matukio so kama ungewaambia abiria wenzako wangewabananisha na kuwakamata

MJOMBA MPUUZI ANDIKA NYINGINE HII TUMEISTUKIA

My sister wale watu walikuwa wanaongea ki code sana si kweli walikuwa wanaenda msikitini labda mahari pengine tu ila kutuhadaa sisi tuliyo kwenye gari tu
 
ha ha ha,we ndege utakuwa wa bush wewe,yaani hata kutunga haujui mkuu,
mwanaume wa mkoani unakuaje muoga bana,au umekulia dar nini?
 
Asee kwanza nina mbio za kutosha kama obama kakudanganya world fastest anatoka jamaika nijaribu mimi.
 
Back
Top Bottom