Wanaume....!

Pia usipende kuwa mlalamikaji kwenye maisha, uwe unajifanyia tathmini ya wewe mwenyewe sababu mambo yanayohusisha nafsi yako ni ya kwako mwenyewe
 
We acha tu mwanaume akiamua kukupiga matukio lazima unyanyue mikono juu,aisee pole sana bora ulijua mapema.
 
Habari ya mchana....

Huyu kaka niko naye kwenye mahusiano kwa muda sasa niseme tu ameokoka anasali haya makanisa ya kiroho.Nilimpenda japo yeye hakunipenda kama alivyokua ananiaminisha.

Sasa bwana last week tulikua pamoja kwake.
Asubuhi alitoka,katika pitapita zangu nikakuta nguo za kike na viatu.

Mapigo ya moyo yalishtuka kidogo, baada ya kurudi nauliza vile vitu ni vya nani jibu nililopewa ...kiherehere changu kimeniponza kwanini niangalie vitu vyake bila ruhusa yake!?

Nilichoka na jibu nikaamua tu kuondoka....Wanaume mpendwe vipi jamani!?

Nilichogundua nilikua mpango kando pasipo mwenyewe kujua........

Si angeniambia tu tunasogeza siku... kinachoniuma hakuniambia ukweli nikampenda mzimamzima......
Bila shaka uko single kwa sasa
Ukipata muda njoo tupotezeana muda
 
story yako iko biased, nasubiri upande wa pili tubalance kama ni kweli umeonewa
 
Habari ya mchana....

Huyu kaka niko naye kwenye mahusiano kwa muda sasa niseme tu ameokoka anasali haya makanisa ya kiroho.Nilimpenda japo yeye hakunipenda kama alivyokua ananiaminisha.

Sasa bwana last week tulikua pamoja kwake.
Asubuhi alitoka,katika pitapita zangu nikakuta nguo za kike na viatu.

Mapigo ya moyo yalishtuka kidogo, baada ya kurudi nauliza vile vitu ni vya nani jibu nililopewa ...kiherehere changu kimeniponza kwanini niangalie vitu vyake bila ruhusa yake!?

Nilichoka na jibu nikaamua tu kuondoka....Wanaume mpendwe vipi jamani!?

Nilichogundua nilikua mpango kando pasipo mwenyewe kujua........

Si angeniambia tu tunasogeza siku... kinachoniuma hakuniambia ukweli nikampenda mzimamzima......

Mhm hapa ndio unasema angekuambia tuu kuwa tunasogezaa siku lakini kiukweli wanawake hamtakagi ukweli huo...njemba akikwambia tuu kuwa tuwe pamoja tuwage tunagegedana tuu hutamvuloa chupi...mara oh wee wataka nipotezea muda tuu. Ndio maana majamaa wanaona isiwe tabu full maigizo wakishakugegeda huna jipya tena hapo.
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom