Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,031
- 4,862
Kwani maskini hafi?Hela ni nzuri ila kuna wakati hazikuokoi na kilicho mbele yako mf death
Kwani maskini hafi?Hela ni nzuri ila kuna wakati hazikuokoi na kilicho mbele yako mf death
Seriously?Money can buy only material things and not everything.
Uko sawa kabisa, na crying in a benz is better than kulia umekaa kwenye baiskeli ya avon"whoever said money can't buy everything was probably broke..
Ukihave enough cheddah, hata ukicheat ukiapologise inakua simple. Ukiwa caught red handed, msupuu ukimtuliza hata na ka iPhone 12 max tayari msala umeisha.
Wanaosema pesa sio mapenzi nakataa, hata ukweni ukiwa na pesa hata umdunde mkeo akirudi home ataambiwa mama vumilia tu Rudi kwa mumeo.
Jokes aside, money is eer thing
Hahahah wordUko sawa kabisa, na crying in a benz is better than kulia umekaa kwenye baiskeli ya avon
Andika kwa kiswahiliHow failures encourage themselves
DuuuAmani inatoka wapi kama mchuzi bank hauna? Ni bora uwe na pesa alafu ukose amani ya moyo kuliko hauna pesa na amani ya moyo huna...utakufa mzee
Kazi kweli kweli.Health unainunuaje bila hela? Umewai jiuliza why marais ama wake zao wanaishi miaka mingi.. pia matajiri pia wanaishi miaka mingi kiwastani kuliko maskini? Happiness nayo bila pesa unainunuaje? Maskini gani ambaye ana hiyo happiness.. yaani ulale njaa ila uwe na happiness,
You just fooling yourself. Money can't buy love but pesa inanunua vitu vinavyotengeneza na kudumisha love. Nikimletea nguo nzuri mke wangu, tukatengeneza trip nzuri automatically itaongeza love Kati yetu. And those things needs money. Jamani umaskini haununui chochote.
Hapo kwenye health ndio naona hujui lolote umebaki kukariri tu misemo ya kimaskini. Niliwahi kupata tatizo la figo Mimi mwenyewe, nikaenda KCMC......(naishia hapa maana nadhani wewe bado una utoto).
Take your time, go to government hospitals, ingia ward za jumla mfano za wanaume, kaa dakika 10. Kisha toka hapo nenda ward za VIP fananisha mazingira na huduma. Kisha toka nenda private hospitals Kama Agha Khan. Usipojifunza nguvu ya pesa basi tena.