Wanaume wenzangu tupunguze Chips-Viazi, tutafedheheka !

Mwanamume timamu hawezi kula chips hata kidogo.Ukiacha madhara ya kiafya, chips ni chakula cha mademu au mashoga. Hakuna cha dharura, chips inaondoa nguvu za kiume, mwanamume unakula chips tena kwa tooth pick inasikitisha sanaaaaaa, nyie mnaoponda mada ndio walaji wakubwa wa chips. Mnakera sana.
Uko sahihi mkuu.
 
Aisee kuna siku nilimwona mjeshi tena kavaa gwanda anakula kiepe yai, nilishangaaa sana kiukweli.
 
Ni chakula sahihi tu kwa mtu yeyote.

Unapokula zinaingia mwilini huvunjwavunjwa hatua kwa hatua during respiration,na hatimaye kuzalisha energy in form of ATP kama cabohydrate nyingine.

Tatizo liko wapi?.

umenifurahisha sana mkuu...
 
ah ah mentality za kusema kwa kua wazungu wanafanya basi poa tu:rolleyes::rolleyes::rolleyes:...kwan brother pale kinondoni wale jamaa wanapendelea ugali dona na maharage eti eeh:):):):):):):)
Si mwenyeji sana na mitaa ya kino ila kuna sehemu nilikuwa nakutana na rika tofauti tukila pweza, na kuna sehemu ni maarufu kwa upikaji wa chips mpaka night kali wateja wakuu ni wanaume sababu kuna huduma zaidi ya vyepe
 
Ni chakula sahihi tu kwa mtu yeyote.

Unapokula zinaingia mwilini huvunjwavunjwa hatua kwa hatua during respiration,na hatimaye kuzalisha energy in form of ATP kama cabohydrate nyingine.

Tatizo liko wapi?.
respiration?
sijui nilisoma Zamani sana....
 
Mimi nakula Chips pamoja na Familiar yangu Huwa nanunua Pale Buguruni Mayai ya Kuku wa Kienyeji Kisha Mama yenu Mdogo/Mke wangu anapika ninakimbia Kilometer 13 Kila Siku na hata kama nimebanwa huwa nakimbia mara 3 kwa wiki sijawahi Ku notice matatizo ya Chips


Mchawi wa Wabongo ni Mazoezi tuu! hakuna Chakula kibaya hata kula nyama milo yote kila siku ni hatari kuliko Chips lakini sijaona mtu anazungumza Kimsingi Jenga Mazoea ya Kufanya mazoezi najua mwanzoni yanaboa ila ukizoea utakua bora kabisa na acheni kusingizia mambo ya Chips ukipiga mazoezi hizo mafuta yatakaa wapi Sina hata Kitambi na na enjoy life na Chips nakula tatizo ni Jinsi ya Kuvitoa nje Badilisha living style yako utaona.
:cool::cool::cool:nmekuelewa sana kiongozi nadhan umefunga hoja:cool::cool::cool:
 
Back
Top Bottom