Wanaume wenzangu naona Joyce Kiria Kileo katupa mchambo wa Karne

kuhonga ni hiari na wala si lazima.....huwezi kulazimisha watu kukuhonga kisa u got pu**y btn ur legs, unaweza honga ht BOT nzima afu wajinga wasio ht ni laki benki wakawa wanaichapa hizi mambo hazina formula.., cheza kulingana na urefu wa kamba yako usiogope kuchapiwa kisa huna pesa za kuhonga
 
Kama wamekutuma wanaume wenzako basi kawape majibu..... Yaani Kaka umejitutumua bila aibu na mipira yako miwili kabisa inakuning'inia hapo Eti unatushauri Wanawake sababu gani hatuolewi ???... Eti unadai ni kwa sababu Wanawake tunaomba sana ela....kweli???Chaaaaaa.. .
Naomba nikuambie ukweli kaka USO mkavu wewe hapo usio na haya hata nukta, na ukarekodi tena kuwajulishe wanaume suruali wenzako wajue kabisa.....
.
Mwanaume kama huna pesa wewe ni bureeeee kwa mwanamke.. Tena nawashauri bora usifanye kabisa urafiki na mwanamke aisee kama huna kitu... Tafuta kwanza kitu kinaitwa pesa... Kwanza wewe kaka umesimama hapo unakaza mishipa unadai kabisa eti Wanawake TUNAOMBA sana ela... Ivi kwanini unasubiri KUOMBWA???? Aiseee utagongewa tuu kama unasubiria Mkeo akuombe pesa!! Yaani Mwanamke wako unangoja akuombe pesa????? Ngachokaaaaa
.
Yaani kama kuna kitu natamani wanangu wakue wakikijua fika na wakifanyie kazi mapema ni kutafuta kwanza kabisa Mungu ufalme wa mbingu, pili PESA PESA PESA PESAAAAAS za kutosha kabla ya kuhangaika na viumbe vinavyoitwa wanawake....
.
Mwanaume popote ulipo ukitaka heshima kwa mwanamke wakwako na wa nje tafadhali sana uwe na pesa za kutosha , Bila pesa hata nyeg*e atakuwa hana.. na tena usingoje akuombeee pesa jamani wewe vipiiii... Uwe unampa kabla hajakwambia anaomba pesa....kwani kujui mwanamke matumiziiii shopping?????
.
Kiukweli Wanawake wengi Siku hizi tumeamua kupiga kazi kwa sababu wanaume wetu wengi wa kitanzania wameacha majukumu yao ya msingi ya kuwatunza wake zao na watoto, Wanaume wengi wamening'iniza boli zao wanasubiri walelewe na wake zao... Hiyo ni mbaya sanaaa... Woyi... Hapo huwezi kuheshimiwa kamweeeeeee???? Au kinamama mnasemaje?????? Ni sawa wasubirie hadi tuwaombe ela kweli??? Eti mpaka umwambie unataka laki tano ukasuke rasta kwa kiria, na nguo mbili tatu, ujifunze make up kwa kiria!!! Jamani hadi umuombe???? Ooooote Mae.... Mbona mambo yetu yaleee hawasubirii tuwaombe??? Tena wanatubaka
1f60f.png
1f60f.png
1f60f.png
1f60f.png
1f60f.png
heshima ya Mwanaume pesa....
.
Ngachokaaaaaaa

kwa hisani ya Joyce Kiria
Mchambo umeenda kwa mumewe aliyeokota skrepa. Wakiitwa wanawake wenye hadhi ya kuhongwa na yeye atasimama na lile kengeza lake na miguu kama mgambo mwanafunzi anafundishwa kwata?
 
Hali ndo ishafikia hapo ndugu zangu wanaume. Tutafute hela tu tuendelee kuwakaza. Wameshasema kikubwa ni hela. Mm nimeamua kutafuta hela nikimtaka huyo japo ni mke wa mtu namkaza naenda zangu. Mkibishana nao hapa mmanjichosha tu
 
Kwa maneno mengine anatuambia kwamba ikitokea mwanaume aliyemzidi pesa mme wake Kileo basi anaweza akakupa nafasi ya mumewe. Bure kabisa huyo mwanamke. Huyo mwanamke huenda anatangaza dau kwa wanaume wenye pesa ili wamuhonge na huenda hata sasa anachepuka.
Mkuu unauliza Mkn wa mbwa Wakati mkia unauona?
 
he he eti mtu uwezo anao lakini kum support girlfriend wake anaona issue jamani si hatari hii...
Kutoa Kwa girlfriend ni kipaji ujue. Afu nilivyoona wachache wapo ok na kumsupport baby kwenye mambo ya msingi (wao ndo wanajua hili la msingi or not), ila kuhonga ndo hawataki hata kusikia teh teh. Na mwingine anakwambia tu hawezi kumsupport mtu ambaye hana uhakika kama atakuwa mkewe. So if you are giving him some husband benefits ukiexpect something in return, kajipange usije kupatwa
 
Back
Top Bottom