Wanaume wenzangu naona Joyce Kiria Kileo katupa mchambo wa Karne

halafu unayapa hela ukimaliza utasikia mbona umemaliza Mimi sijamaliza?
nyambaff na wewe kahonge msukuma toroli akusugue mpaka umalize.
 
Nchi hii bwana mtu yoyote anaweza kuwa alivyo!
Wasio Elimu ni wengi sana wanazolewa hovyo kabisa!
Kuna na wale wanasaikolojia wanaowaibia wasio werevu na wanajiona wamekamata nchi
 
Jamani, UJINGA NI MZIGO MKUBWA SAANA. Joyce Kiria ana mzigo mkubwa sana ameubeba. Pole zimfikie na achukue hatua mapema iwezekanavyo.
 
Kama we mwanamke, na unatumia energy kubwa kudai unachodhani ni haki yako, then pengine hustahili kabisa. Coz trust me, we'll do anything for you, anything, only if you're worth it.

A vagina + brain = you running the world. A vagina + no brain = a foul and bitter mouth.
Naona humu inatumika nguvu kubwa kudai haki yao ya kupewa hela.
 
Kwa maneno mengine anatuambia kwamba ikitokea mwanaume aliyemzidi pesa mme wake Kileo basi anaweza akampa nafasi ya mumewe. Bure kabisa huyo mwanamke. Huyo mwanamke huenda anatangaza dau kwa wanaume wenye pesa ili wamuhonge na huenda hata sasa anachepuka.
 
Back
Top Bottom