GANG MO
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,087
- 2,193
Mambo vipi wadau wa JF.
Mimi sio mtumiaji wa FB but juzi kati nikafanya research ndogo tu. Nikatengeneza account FB na kuipa jina la kiume. Ndani ya masaa 24 sikupata friend request hata moja wala SMS.
Nikaunda account nyingine nikaipa jina la kike na kuweka picha nzuri. Huwezi amini ndani ya masaa mawili nilipata request 200. Nikafanya kuzikubari zote. Baaada ya saa moja nikapata sms 50 wakiomba namba na wengine kuuliza kama nina mchumba. Leo ni ck ya tatu tayar account imefikisha friends zaid ya 1000 na weng wao ni male.
Hivi wanaume tunatatizo gani? Au ni pepo la ngono linatutesa.
Mwanaume wa sasa amekuwa mgumu kutuma request kwa mwanaume mwenzake anahangaika kutuma kwa mwanamke ambaye hata hamjui.
Wanaume wengi hutapeliwa kwa njia hii. Anazani anawasiliana na mwanamke kumbe ni mwanaume mwenzake.
Tubadirike jamani. Chati na washikaji unaweza pata connection sio kufikili mapenzi muda wote.
Nawasilisha