Wanaume wenye vipara katika hatari ya kuuliwa Musumbiji

kipara cha asili ni dili moja kubwa sana katika uvuvi..wanasema ukiwa na kichwa cha upara ukienda kuvua ukitupa nyavu unakishusha na kipara..wanasema samaki ata akiwa umbali wa dar-moro anakiona kipara yaani kinareflect kama kioo.
 
FB_IMG_1496874365970.jpg

Polisi nchini Musumbiji wameonya kuwa wamaume wenye vipara huenda wakalengwa kwenye mashambulizi yanayohusiana na uchawi, pamoja na matambiko fulani, baada ya kuuliwa kwa wanaume wawili kama hao mwezi uliopita.

Wanaume hao wawili wenye upara na ambapo mmoja wao alipatikana akiwa amekatwa kichwa na viungo vya mwili vikiwa vimetolewa, waliuliwa katika mkoa wa Zambezi.

"Mwezi uliopita mauaji ya watu wawili wenye vipara yalisababisha kukamatwa kwa washukiwa wawili," msemaji wa polisi Inacio Dina, alisema kwenye mkutano wa waandishi wa habari mjini Maputo.

Mwandishi wa BBC mjini Maputo anasema kuwa baadhi ya watu wana imani potovu kuwa watu wenye vipara wako na dhahabu kwenye vichwa vyao.

Visa vya kuuliwa watu wenye upara kwa maswala ya uchawi havijaripotiwa siku za nyuma.

Washukiwa ni vijana wa Msumbiji, waliowaambia polisi kuwa viungo hivyo vingetumiwa kwa uchawi na matambiko nchini Tanzania na Malawi.

Tanzania inafahamika duniani kwa watu wenye matatizo ya ngozi kuuwawa na viungo vyao kutumika kwenye matambiko ya kichawi.

=======

Police in Mozambique Tuesday warned that bald people could be the targets of ritual attacks, after the brutal killing of two men whose body parts were to be used in witchcraft.

The two bald men, one of whom was found with his head cut off and organs removed, were killed in a part of the country already notorious for the persecution of albinos.

"Last month, the murders of two bald people led to the arrest of two suspects," national police spokesman Inacio Dina told a news conference in the capital Maputo.

"Their motivations come from superstition and culture: the local community thinks bald individuals are rich," he said.

The killings took place in Milange, in the centre of the southern African country, a few kilometres from the border with Malawi.

The local police told AFP that the two victims were aged over 40.

"One of them was found with his head cut off and his organs removed," said Miguel Caetano, spokesman for the security forces in the central province of Zambezia.

The suspects arrested are two Mozambicans around 20 years old.

According to their statements, the organs were to be used by healers in rituals to promote the fortunes of clients in Tanzania and Malawi, he said.

It was the first time that bald people have been victims of such attacks in the region, Caetano said.

In Maputo, the national police spokesman likened the attacks to those on albinos, whose body parts are used in witchcraft rituals.

According to the UN, more than a hundred attacks against albinos - who have white skin because of a hereditary condition that causes an absence of pigmentation - have been registered in Mozambique since 2014, mainly in the centre and the north of the country.

Chanzo: Bald men killed for witchcraft, say Mozambique police
 
Teh teh teh hii ni hatari.
Wakimaliza hao mara utasikia wafupi. Mara warefu.
 
Itabidi wawe marastafari hakuna namna
rastafari mwenye kipara? rasta hazita ficha kipara lakini? msinione nauliza uliza maana na mimi pia ni muhusika. mi naona dawa ni kunjoa udang'a full ili usijulikane kuwa una ualaza kabisa. sasa majirani wanao kujua ndo watauza dili.
 
Back
Top Bottom