Barieda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 1,791
- 2,420
Kipengele cha kugongewa mke kisikie kwa jirani kisiingie ndani kwako kwani kinauma sana, vitabu vya Mungu vinatueleza na kutuonya juu ya jambo hilo, zaman walikuwa wanapewa adhabu ya kupondwa mawe mpaka kufa waliozini kwa matazamo wa ndani kimungu uzinzi unaonekana kuwa ni dhambi kubwa kuliko zote maake ndo ulioangusha dunia.
Hivyo unapoona mwenza wako anashawishika kupekua simu yako ujue keshakutilia shaka mwenendo wako, hana imani na wewe, hivyo kabla hajafanyahivyo wewe ndo unatakiwa uwe wa kwanza kujichunguza na kujirekebisha, zuia mazingira hayo kwa kuzuia msg na call zenye mlengo wa kumfanya mwenza wako akutilie shaka, kamwe usichukulie poa.