Wanaume wenye papara huwa hawafanikiwi

wanawake acheni papara kwenye hela, yaani mtu tumejua hata siku3 hazijaisha, eti unaanza vibomu hivi mnazani kipimo cha kugundua kama mtu anakupenda ni kuendekeza vibomu vyenu?

kwa hali hii mtaishia kupata wanunuaji tu, kama mngekuwa wavumilivu basi hata sisi wanaume tungekuwa wavumilivu kwenu.

Yaani siku mbili nmataka hela, tuzoeane kwanza, hela utazipata hadi utazikimbia kiukweli..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
HAHA HAHAAAAAAA.......KUMBE WANAUME BADO TUPO NILIDHANI WAVULANA NDIYO WENGI KULIKO SISI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakutana na mwanaume kwa mara ya kwanza,ghafla anaandaa mazingira ya kutaka umpe nyapu

Yaani yeye akishakutongoza na kumkubalia target yake ni kukuandalia mazingira ya kukula

Mara akuombe uende kwake ukiwa mwenyewe,mara aje kwako ang'ang'anie,mara akucheleweshe mkiwa out ili usiku uingie mlale hotel pamoja na hapo mahusiano yenu yana wiki mbili

Yaani wanaume wenye staili hiyo mtabaki kulalama,vumilia utakula tunda mpaka uchoke,sisi tunakuwa huru baada ya kuzoeana,nikishakuzoea ndo ntakupa uchi wangu bila shida

Lakini mitego yenu ya kishenzi,mtaambulia wasiojielewa lakini wanawake wenye timamu sio rahisi

Wanaume acheni papara kwenye mahusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kumbuka hatuishi mara mbili ,na hayo mambo ya kuremba mwandiko ilikuwa zamani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana mnakosa utam hivi hivi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani ilikua rahisi sana kuvumilia hata mwaka mzima ila siku hizi wadada mlivyokuwa rahisi hivi kusubiria inakuwa ngumu sana. Labda nikute unakitu kingine cha ziada zaidi ya Uchi wako, hapo ninaweza kusubiri!
Sisi ni wagumu kuvumilia maana unakuta tumeshatongoza wanawake kama kumi hivi, tunasubiri majibu kote!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakutana na mwanaume kwa mara ya kwanza,ghafla anaandaa mazingira ya kutaka umpe nyapu

Yaani yeye akishakutongoza na kumkubalia target yake ni kukuandalia mazingira ya kukula

Mara akuombe uende kwake ukiwa mwenyewe,mara aje kwako ang'ang'anie,mara akucheleweshe mkiwa out ili usiku uingie mlale hotel pamoja na hapo mahusiano yenu yana wiki mbili

Yaani wanaume wenye staili hiyo mtabaki kulalama,vumilia utakula tunda mpaka uchoke,sisi tunakuwa huru baada ya kuzoeana,nikishakuzoea ndo ntakupa uchi wangu bila shida

Lakini mitego yenu ya kishenzi,mtaambulia wasiojielewa lakini wanawake wenye timamu sio rahisi

Wanaume acheni papara kwenye mahusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unaongea uzoefu wako, nyapu toa tu usijifanye hadi mzoeane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom