Wanaume wenye papara huwa hawafanikiwi

Unakutana na mwanaume kwa mara ya kwanza,ghafla anaandaa mazingira ya kutaka umpe nyapu

Yaani yeye akishakutongoza na kumkubalia target yake ni kukuandalia mazingira ya kukula

Mara akuombe uende kwake ukiwa mwenyewe,mara aje kwako ang'ang'anie,mara akucheleweshe mkiwa out ili usiku uingie mlale hotel pamoja na hapo mahusiano yenu yana wiki mbili

Yaani wanaume wenye staili hiyo mtabaki kulalama,vumilia utakula tunda mpaka uchoke,sisi tunakuwa huru baada ya kuzoeana,nikishakuzoea ndo ntakupa uchi wangu bila shida

Lakini mitego yenu ya kishenzi,mtaambulia wasiojielewa lakini wanawake wenye timamu sio rahisi

Wanaume acheni papara kwenye mahusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo wewe unatongozwa na unakubali kwan kinachofata n nini? Acha kutaka kuharibu sifa za wanaume bas. Ungezikataa na hizo ofa za outing.
Kula uliwe acha mashauzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakutana na mwanaume kwa mara ya kwanza,ghafla anaandaa mazingira ya kutaka umpe nyapu

Yaani yeye akishakutongoza na kumkubalia target yake ni kukuandalia mazingira ya kukula

Mara akuombe uende kwake ukiwa mwenyewe,mara aje kwako ang'ang'anie,mara akucheleweshe mkiwa out ili usiku uingie mlale hotel pamoja na hapo mahusiano yenu yana wiki mbili

Yaani wanaume wenye staili hiyo mtabaki kulalama,vumilia utakula tunda mpaka uchoke,sisi tunakuwa huru baada ya kuzoeana,nikishakuzoea ndo ntakupa uchi wangu bila shida

Lakini mitego yenu ya kishenzi,mtaambulia wasiojielewa lakini wanawake wenye timamu sio rahisi

Wanaume acheni papara kwenye mahusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante ur right

Daaah sometimes it makes sound.....ila wengine hata uvumilie mwaka mzma bado watakunyima nyapu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unakutana na mwanaume kwa mara ya kwanza,ghafla anaandaa mazingira ya kutaka umpe nyapu

Yaani yeye akishakutongoza na kumkubalia target yake ni kukuandalia mazingira ya kukula

Mara akuombe uende kwake ukiwa mwenyewe,mara aje kwako ang'ang'anie,mara akucheleweshe mkiwa out ili usiku uingie mlale hotel pamoja na hapo mahusiano yenu yana wiki mbili

Yaani wanaume wenye staili hiyo mtabaki kulalama,vumilia utakula tunda mpaka uchoke,sisi tunakuwa huru baada ya kuzoeana,nikishakuzoea ndo ntakupa uchi wangu bila shida

Lakini mitego yenu ya kishenzi,mtaambulia wasiojielewa lakini wanawake wenye timamu sio rahisi

Wanaume acheni papara kwenye mahusiano

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumeskiaaa
 
Ahahahahah...

Nimejikuta nacheka kwa sauti.

Similar Discussions

Back
Top Bottom