wanaume wenye ndoa

eyetyna

Senior Member
Jun 24, 2011
148
17
ni kweli msichana anapokosa mapenzi ya dhati kutoka kwa boyfriend wake na kuchukua uamuzi wa kuwa na mume wamtu inamsaidia kutulia na kuweza kuenjoy mapenzi?
 
hapa nashindwa kuconnect kichwa cha habari na ujumbe halisi......nimekuwaje leo....
 
kwanini unashindwa preta mbon inaelewek!
kuwa na mume wamtu kwa msichana aliyegombana na boyfriend wake itamsaidia?
 
edson,lakin yeye ndo anaamin kuwa watu wazim kama hao walioa ndo wangeweza kuwa faraja yake ,coz kuna usemi unasema hao wazee wenyewe ndo wazuri ukimpata atakulea na wala hutojuta ni kweli?
 
hapa nashindwa kuconnect kichwa cha habari na ujumbe halisi......nimekuwaje leo....

ni kweli kabisa,..hii thread imekaa kichwa chini miguu juu_kwa hiyo Preta uko vizuri kabisa kwa leo na siku zijazo_shaka ondoa
 
ni sawa na kunywa pombe ili usahau shida zako!
ukiamka shida ziko palepale na umasikini juu!!!!!!
 
sasa wafanyaje na vijana weni wa siki hizi,hawana mapenzi ya dhati,hivyo wasichan wengi wankimbilia kuwa na waume za watu
 
Umeshasema 'mume wa mtu' ana wake huyo, achana nae. Kuna vijana wengi wastaarabu, achana na masharobaro! Mume wa mtu atakuoa? Na ole wako ukutwe na mke wake.
 
hilo nalo neno,sasa solution ndo tuitakayo
 
my dear.....mimi naona we utulie....achana na waume za watu....wana wake zao.....
Msichana ukijituliza ndio unapata mtu wa aina yako....coz utaheshimika....
sasa ukiwa kicheche....heee....hawa ndugu zetu hutakaa uwaelewe......
watakubandika....watakubandua....bandika...bandua.....
 
ha hahaaaaa!ushauri mzuri sana asane nadhani umefika kwa muhusika.
 
my dear.....mimi naona we utulie....achana na waume za watu....wana wake zao.....
Msichana ukijituliza ndio unapata mtu wa aina yako....coz utaheshimika....
sasa ukiwa kicheche....heee....hawa ndugu zetu hutakaa uwaelewe......
watakubandika....watakubandua....bandika...bandua.....
Thanx. Atakuwa amekupata vema!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom