Wanaume wenye mapenzi ya dhati ndo wanaweza fanya hivi. Ila kwa wenye tamaa wanakuacha mataa ya ubungo unashangaa.

Mm ni mmoja wa hao wanaume wenye mapenz hayo,. Japo madem wengi ninaokutana nao wamekuwa wakichukilia kama advantage ya kupata pesa, na huwa nashtuka haraka, baada ya hapo ni kibuti.

Ila i wont quit to be gentlemen,coz that who i am. If a lady want to be with me,she can follow my rules,ill make her my queen , my everyrthing,nitimiza majuku yote. Lakin akizingua sina msamaha kabisa. I got no time for games
Hongera. Ila utampata wa kuendana nawe
 
Alikuwa mzima na walikuwa kwenye mapenzi. Na Baadae akapata ajali,hawezi kusimama tena...
b2d00852e04c748e90d4df2ea675b61f.jpg
acb9e560db61184a02d9d5c107f4fb9f.jpg
dc71959ef5300ba91585848970e98d9e.jpg
ama hakika mapenzi ya dhati bado yapo.


Ila kwasampuli iyo itakua nikosa lajinai kuacha aende.
 
Akitaka kujisaidia haja kubwa au ndogo, na akitaka kuchamba pia, mwanaume aliyemuoa anahusika yote hayo, kwa vyovyote jamaa atakuwa na mpunga, na mke wake atakuwa na mpunga pia.
 
Back
Top Bottom