totolito
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 708
- 431
Tupo wengi njoo pm chap hutajutiaHivi hao wanaume wenye mapenzi ya dhati wanapatikana wapi nami nikajipatie mmoja
Tupo wengi njoo pm chap hutajutiaHivi hao wanaume wenye mapenzi ya dhati wanapatikana wapi nami nikajipatie mmoja
Umezungumza ukweli mtupu.Itakuwa alikuwa hampigi vizinga.
Wanaume wamejanjaruka sana,wakikuona wewe ni liability hata ukiwa na hips pana kama bahari ya Hindi,anajiongeza.