Wanaume wengine njaa ukimuomba pesa kidogo tu anakufungulia uzi

Yaani lazima nikuanzishie uzi maana haiwezekani kila iwe kwenu tu... Kwani sisi hamuwezi kutupatia hizo pesa, au sisi hatuna matumizi au boxer, chupi na singlend tunaokota ziwani?
 
Mwanamke anayeomba pesa mara baada ya kutongozwa hana mafunzo ya nyumbani na anaendekeza shida.

Na kwa upya wa mahusiano, hana pesa nzuri ya kuomba.

Akiomba pesa ndogo atakuwa amenidharau, akiomba pesa kubwa atakuwa ana papara.

Bora asiombe mpaka tujuane vizuri.

Na tukijuana vizuri, atakuwa hana sababu ya kuomba, nitamuachia kadi na PIN akae nayo mwenyewe.

Siyo BMW nililompa limemuharibikia njiani huko, aanze kuniomba hela ya kuliburuza huku anahatarisha maisha!

Naongea maisha ninayoishi, si hadithi.
 
Kwa msingi huu wanawake wasitake usawana wanaume daima.
na kamwe hakunaga usawa hata na wanaume tunapretend na kujishaua,mwanaume ni mwanaume bana
Back to topic mwanaume akikupenda atakuheshimu,atakujali,atakutunza sasa mleta mada katongozwa ile kawaida tu anataka shida zake zote jamaa azibebe nadiriki kusema katamaniwa anapiga vizinga lazima aambulie cha mbavu.
HELA YA MWANAUME TAMU BANA HAIMAANISHI KUWA MWANAMKE ASITAFUTE AU ASIWE NA ZAKE LAKINI ZILE CARING ZINANOGESHA
 
Sasa mimi niwe na chuma kama wewe Amu, halafu eti nasubiri mpaka uniombe pesa?

Huo utakuwa ni uzembe na uzururaji! Zaidi, utakuwa ni uharibifu wa fadhila.

Yani hapo nitakuwa natumia falsafa za Saddam Hussein.

Saddam Hussein alikuwa na msemo wake mmoja, anasema kwamba yeye ana uwezo wa kujua mtu atamsaliti, kabla huyo mtu mwenyewe hajajua kwamba atamsaliti Saddam.

Kwa hivyo, na mimi kama mwanamme wa shoka, natakiwa kujua mwanamke wangu atakuwa na mahitaji gani, hata kabla mwanamke wangu mwenyewe hajajua atakuwa na hayo mahitaji, na namtimizia.

Lakini, kufika level hiyo, inabidi tujuane kwanza.

Siyo siku ya kwanza tu unaomba nauli ya daladala.

Naweza kuona hapa tutashindwa kupanga mipango ya "marginal propensity to save/consume".

Naweza kuwa naongea mipango mikubwa ya global business empire na trust funds za watoto na tax heaven arrangements halafu ikawa Kijapani kwa mwanamke kama huyo.
 
Jamani Wanaume hii ni aibu ya karne!

Why umemtongoza mwanamke mwenyewe, umemuimbisha nyimbo mwenyewe unakuja kutuonyesha SMS za mpenzi humu eti ana njaa anaomba omba???

Are you serious or something? Tanzanian Men wake up!

I'm telling you, duniani hakuna cha burebure we elewa utakavyoelewa!! Huo ndo ukweli.
Mbona hata nyie mkikubaliwa kuingia kwenye uhusiano mkiomba mahitaji yenu mkikataliwa huwa mnakuja kulialia?? Why????? Na sisi wadada tuwafungulie Uzi??? Tena wengine siku ya kwanza.( Acha ujinga hudumia)

Eti MTU Roho inakuuma mpenzi kukuomba msaada sasa kama kutoa huduma huwezi ama kunakushinda si ujifungue ndani mwako kimya au uwe single for the rest of you life???

Kuna wengine watakuja na hoja dhaifu eti kwani huyo ni Baba yako or kwani wewe you don't have your money, hiyo ni hoja dhaifu na iliyokosa mashiko.

Kama huwezi hudumia bakia single. Kama huwezi kuhudumia usitongoze, kama huwezi kuhudumia Baki mwenyewe .Aibu ,aibu kubwa mkaka kuja JF na kuanza kutoa siri za mpenzi kakuomba Kavocha au pesa ya kusukia nywele.

Sasa unataka amuombe nani kwa Mfano?? Wewe si ndio umekuwa part yake sasa ndo mana mnashea mwili???( naongea kwa ukali kwa sababu this is too much na wengi wenu hamjui maana ya mpenzi) mmebaki mnabuni na mkiombwa mnabaki Kusononeka na kuanzisha Uzi(Aibu kubwa)

Kama huna kuna ubaya gani kumwambia mpenzi wako ' Dear sina kwa Leo labda siku ingine.Mbona sisi Ni waelewa????

Kama hamjui Wanaume waelewa wa najua nimeongea nini.Na wanaume waelewa wanafight mpaka kubeba magunia, kufanya kazi ngumu ili wahudumie wapenzi ama familia zao .That is how real men supposed to be.

Eti kwa nini ananichuna?? Hiyo Ni tafsiri hasi Hakuna anayekuchuna sema huna Tutakuelewa wala Sio kesi wala vita wala nini( ila jua kumhudumia Mpenzi au mke Ni jambo muhimu Na wajibu wako Na Ni la lazima) nimeshaongelea sana mada kama hii nyuma, nimeirudia baada ya kuona kuna wengine wanajitoa ufahamu Na Kuja kulia lia kwa kuombwa pesa ya salon ( Aibu sana hii)

Eti Sio Baba yako eeeeh mbona Wewe hukuenda kwa Mama??? Jamani msiparamie mambo msiyoyaweza .Kila jambo Na consequences zake Na hiyo Ni nature huwezi ipinga.
Eti unataka ukiwa Na mpenzi asikuombe kitu eti ndo wife material+ mngejua hao hao wasiowaomba wanavyowatoa kasoro?? ' yaani Nina mpenzi hanipi Hata matumizi kisa simuombi jamani Mimi ananiudhi sana swali why usimuombe?? Nikiomba ataniona cheap namwangalia kama atajiongeza mwenyewe mi sijazoea kuomba ila Sipendi kweli.

Fact Ni kwamba mwanamke yoyote anapokubari kuingia any relationship anajua sasa amepata wakumsaidia( huo ndo ukweli Na msijidanganye eti Nina mpenzi haniombi Na Wewe ukajisifu anakuhesabia siku tu( kama yupo wa hivyo ebu jaribu Leo Kumpa pesa ya matumizi uone kama atakataa Na Hata akikataa mwangalie machoni Hamaanishi.( Na nyie Wanawake mnaoshadadia eti ukiwa Na mpenzi humuombi pesa Acheni kuwaponda pembeni huo Ni Unafiki ili wengine tulio Openi tuonekane namna vipi
Mwisho.Mwanaume una wajibu wa kumtunza mpenzi hiyo Ni kwa mujibu wa utafiti kama kweli una nia naye.Kinyume Unajidanganya!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhudimia girlfriend hapana labda mchumba au mke. Wewe huna tofauti na mwenzako niliyetoka kupiga chini muda si mrefu. Sipendi kuombwa hela, ila natoa pale penye uhitaji wa muhimu. Ukiniomba ndo sitoi kabisaaa.
 
Sasa mimi niwe na chuma kama wewe Amu, halafu eti nasubiri mpaka uniombe pesa?

Huo utakuwa ni uzembe na uzururaji! Zaidi, utakuwa ni uharibifu wa fadhila.

Yani hapo nitakuwa natumia falsafa za Saddam Hussein.

Saddam Hussein alikuwa na msemo wake mmoja, anasema kwamba yeye ana uwezo wa kujua mtu atamsaliti, kabla huyo mtu mwenyewe hajajua kwamba atamsaliti Saddam.

Kwa hivyo, na mimi kama mwanamme wa shoka, natakiwa kujua mwanamke wangu atakuwa na mahitaji gani, hata kabla mwanamke wangu mwenyewe hajajua atakuwa na hayo mahitaji, na namtimizia.

Lakini, kufika level hiyo, inabidi tujuane kwanza.

Siyo siku ya kwanza tu unaomba nauli ya daladala.

Naweza kuona hapa tutashindwa kupanga mipango ya "marginal propensity to save/consume".

Naweza kuwa naongea mipango mikubwa ya global business empire na trust funds za watoto na tax heaven arrangements halafu ikawa Kijapani kwa mwanamke kama huyo.
ha ha ha tax holiday akajua ni kuspend grumet
 
juzi kuna mdada msomi kanikuta nasoma kitabu small business management kit for dummies kilikuwa na price tag juu we acha aanze kunichamba eti we fala unanunuaje kitabu cha bei hivyo mimi siwezi nikacheka sana
Hahahaha,

Ndiyo maana uchaguzi huu huwa muhimu sana, ukilikoroga kwenye uchaguzi huko mbele unalinywa mwenyewe.
ila
wewe mwanaume unamanimaliza sana naomba hapa usirudi tena
 
Back
Top Bottom