Wanaume wengine njaa ukimuomba pesa kidogo tu anakufungulia uzi

Hivi ukitongozwa ni lazima uombe pesa kwa mwanaume? Wakati mwingine wanawake mnajidhalilisha wenyewe kwa kugeuka ombaomba kwa wananaume kisa tu umetongozwa, kwa nini usisubiri akupe mwenyewe?
Hapa sio kutongozwa
Nimeelezaaaaa wee hamuelewi
Sijui kiswahili kigumu
Maana Ni kwamba mfano una mchumba kapanga.Anahussle kivyake Sasa Wewe umekuwa mchumba wake humsaidiiiiiiiiiiiiiiiii kitu????????
Hayo Sijui ukimtongoza Na hela sijayasema mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani Wanaume hii ni aibu ya karne!

Why umemtongoza mwanamke mwenyewe, umemuimbisha nyimbo mwenyewe unakuja kutuonyesha SMS za mpenzi humu eti ana njaa anaomba omba???

Are you serious or something? Tanzanian Men wake up!

I'm telling you, duniani hakuna cha burebure we elewa utakavyoelewa!! Huo ndo ukweli.
Mbona hata nyie mkikubaliwa kuingia kwenye uhusiano mkiomba mahitaji yenu mkikataliwa huwa mnakuja kulialia?? Why????? Na sisi wadada tuwafungulie Uzi??? Tena wengine siku ya kwanza.( Acha ujinga hudumia)

Eti MTU Roho inakuuma mpenzi kukuomba msaada sasa kama kutoa huduma huwezi ama kunakushinda si ujifungue ndani mwako kimya au uwe single for the rest of you life???

Kuna wengine watakuja na hoja dhaifu eti kwani huyo ni Baba yako or kwani wewe you don't have your money, hiyo ni hoja dhaifu na iliyokosa mashiko.

Kama huwezi hudumia bakia single. Kama huwezi kuhudumia usitongoze, kama huwezi kuhudumia Baki mwenyewe .Aibu ,aibu kubwa mkaka kuja JF na kuanza kutoa siri za mpenzi kakuomba Kavocha au pesa ya kusukia nywele.

Sasa unataka amuombe nani kwa Mfano?? Wewe si ndio umekuwa part yake sasa ndo mana mnashea mwili???( naongea kwa ukali kwa sababu this is too much na wengi wenu hamjui maana ya mpenzi) mmebaki mnabuni na mkiombwa mnabaki Kusononeka na kuanzisha Uzi(Aibu kubwa)

Kama huna kuna ubaya gani kumwambia mpenzi wako ' Dear sina kwa Leo labda siku ingine.Mbona sisi Ni waelewa????

Kama hamjui Wanaume waelewa wa najua nimeongea nini.Na wanaume waelewa wanafight mpaka kubeba magunia, kufanya kazi ngumu ili wahudumie wapenzi ama familia zao .That is how real men supposed to be.

Eti kwa nini ananichuna?? Hiyo Ni tafsiri hasi Hakuna anayekuchuna sema huna Tutakuelewa wala Sio kesi wala vita wala nini( ila jua kumhudumia Mpenzi au mke Ni jambo muhimu Na wajibu wako Na Ni la lazima) nimeshaongelea sana mada kama hii nyuma, nimeirudia baada ya kuona kuna wengine wanajitoa ufahamu Na Kuja kulia lia kwa kuombwa pesa ya salon ( Aibu sana hii)

Eti Sio Baba yako eeeeh mbona Wewe hukuenda kwa Mama??? Jamani msiparamie mambo msiyoyaweza .Kila jambo Na consequences zake Na hiyo Ni nature huwezi ipinga.
Eti unataka ukiwa Na mpenzi asikuombe kitu eti ndo wife material+ mngejua hao hao wasiowaomba wanavyowatoa kasoro?? ' yaani Nina mpenzi hanipi Hata matumizi kisa simuombi jamani Mimi ananiudhi sana swali why usimuombe?? Nikiomba ataniona cheap namwangalia kama atajiongeza mwenyewe mi sijazoea kuomba ila Sipendi kweli.

Fact Ni kwamba mwanamke yoyote anapokubari kuingia any relationship anajua sasa amepata wakumsaidia( huo ndo ukweli Na msijidanganye eti Nina mpenzi haniombi Na Wewe ukajisifu anakuhesabia siku tu( kama yupo wa hivyo ebu jaribu Leo Kumpa pesa ya matumizi uone kama atakataa Na Hata akikataa mwangalie machoni Hamaanishi.( Na nyie Wanawake mnaoshadadia eti ukiwa Na mpenzi humuombi pesa Acheni kuwaponda pembeni huo Ni Unafiki ili wengine tulio Openi tuonekane namna vipi
Mwisho.Mwanaume una wajibu wa kumtunza mpenzi hiyo Ni kwa mujibu wa utafiti kama kweli una nia naye.Kinyume Unajidanganya!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa gazeti inaonekana imekuumiza sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaa haaaa haaaaaaa
Katika Ubora wako
Nani kakwambia yote hayo hayafanyi
Sasa unataka wewe ukiwa Na.mpenzi upeleke tu Sura yako Na suruali bila Hata kuchangia unga ndani kwa mpenzi wako
Ebu Ona Haya Wewe
Zama hizi Hakuna Mdada anayejielewa akakaa tu.Wanapambana,tunapambana
Sasa ukichangia dhambi???spicies za Wanaume zinazidi kupotea.Na.iunaki wenye Ndululu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchangia imo lakini isiwe desturi, kwamba asipokutoa unamdai..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulipewa bure toa bure !! hiv ni kwann hamtaki kuzingatia maneno matakatifu ??
Unajua nimechekaaaaa!
Wanaume kazi yenu kutulisha kutupendezesha
Na sisi tunayo yetu ya kuwazalia
Sema tu siku hizi mambo Si mambo tunaingia Fenti podi.Bassssss mnatuoneaaaaaaa
Haya Bana
Tufanye nini Na Mmeamua???????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitu gani?

Sent from my TECNO_P5_PLUS using JamiiForums mobile app
Vitu vingi sana
Unajua kitendo cha kuzaa tu Ni Zawadi toshaaa??
Pale mwanamke ana Risk maisha yake sana.
Pili kushirikiana kwenye Ujenzi, miradi, kula, Na mambo mengi
Daily basis.Sasa ukisema Wanawake tupo tupo tu sio kweli.
Hata mama wa nyumbani ana majukumu mengi sana
Pia Mada hii Watu mlichanganya Na Ile kwamba una mpenzi ukitoa Papuchi umpe pesa
Nope! Maana imegeuzwaaa Na Watu wasiopenda kutafsiri mambo
Mimi nilimaanisha Na kuwakemea wale wote wenye wapenzi wa kudumu pengine kuelekea ndani
Kumuacha tuuuu unamuacha tuuuuu anahangaika Na tujuavyo most of women wana vipato vidunchu
Kwani ukimuongezea kwenye matumizi yake ya mwezi hata Laki 1 imsogeze wewe unajisikia unsafe??
Please Wanaume.
Tunawapenda but hamjui wajibu wenu
Ndo.mana tunashindwa Na sisi kuwapa mioyo yoteeeeeeeeeeee!
Tunabana moyo.
Moyo hauchanui
Tujalini.
Tujaliane
Ndo maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanyeni kazi acha kuwa kahaba bubu...

Dunia ingekuwa na mlango kuna Mtu ningemtoa nje
 
Vitu vingi sana
Unajua kitendo cha kuzaa tu Ni Zawadi toshaaa??
Pale mwanamke ana Risk maisha yake sana.
Pili kushirikiana kwenye Ujenzi, miradi, kula, Na mambo mengi
Daily basis.Sasa ukisema Wanawake tupo tupo tu sio kweli.
Hata mama wa nyumbani ana majukumu mengi sana
Pia Mada hii Watu mlichanganya Na Ile kwamba una mpenzi ukitoa Papuchi umpe pesa
Nope! Maana imegeuzwaaa Na Watu wasiopenda kutafsiri mambo
Mimi nilimaanisha Na kuwakemea wale wote wenye wapenzi wa kudumu pengine kuelekea ndani
Kumuacha tuuuu unamuacha tuuuuu anahangaika Na tujuavyo most of women wana vipato vidunchu
Kwani ukimuongezea kwenye matumizi yake ya mwezi hata Laki 1 imsogeze wewe unajisikia unsafe??
Please Wanaume.
Tunawapenda but hamjui wajibu wenu
Ndo.mana tunashindwa Na sisi kuwapa mioyo yoteeeeeeeeeeee!
Tunabana moyo.
Moyo hauchanui
Tujalini.
Tujaliane
Ndo maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mwanaume anafanya haya kwa mkewe huyo hamnazo. Ila chapa ilale nakukopa na hunioni tena...

Dunia ingekuwa na mlango kuna Mtu ningemtoa nje
 
Back
Top Bottom