Wanaume wengi wanaopiga wanawake, wanaogopa kupigana na wanaume wenzao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume wengi wanaopiga wanawake, wanaogopa kupigana na wanaume wenzao

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Jan 4, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,319
  Likes Received: 22,160
  Trophy Points: 280
  Midume inayo bonda wake zao, ama wachumba zao au magelfrend zao au hata dada zao, ni waoga ile mbaya kupigana na wanaume wenzao.
  Midume hiyo mioga ina boost immunity zao za kihisia kwa kupiga wanawake zao.
  Aibu jamani, tubadilike.
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  sijafanya risechi, lakini hii rumor ina ka ukweli kakubwa sana.
  Wanaume wanapigana na wanamme wenzao hawagusi wanawake.
   
 3. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Sio kweli. Chokoza mkurya uone kama hakukunyuka hata wewe japo ni expert wa kudunda mkewe almost daily
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,319
  Likes Received: 22,160
  Trophy Points: 280
  MKURYA hapigi mke kwa panga, ukiona Mkurya napiga mke kwa panga ujue huyo ni shoga
   
 5. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  mkurya chezea mke wake, lakini sio nyumba ndogo
   
 6. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Hahhahaha,sijaijua hiyo!..ila mwanaume anaempiga mwanamke ni mkatili...na asiyejua thamani ya mwanamke!
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wengi wao wanakua na wasiwasi na uanaune wao, ile ndio njia pekee ya wao kuamini kwamba bado ni wanaume.
   
 8. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  thats true
   
 9. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mh mwanaume anaepiga mkewe sio mwanaume huyo tena uwanaume wake wa mashaka. gumegume ilo lililoshindwa na mtume.
   
 10. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kutokujiamini
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,319
  Likes Received: 22,160
  Trophy Points: 280
  sasa muwafanyeje ili waache kutoa vipondo?
   
 12. Black Rose

  Black Rose JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hehehhehehh..soma avatar yangu utajua.
   
 13. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Source?
   
 14. b

  bibi.com JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 1,155
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ukikosa akili utatumia nguvu hilo ndio jibu
   
 15. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #15
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Moja ya vitu vya kishenzi na ustaarabu zero ni hii maneno.
   
 16. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #16
  Jan 4, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Akianza mchezo wa kupiga na wewe unachukua frying pan au mwiko ule mkubwa wa ugali unaficha sehemu..akianza kukupiga unaelekea eneo la kificho na yeye unampatia ya uso au kwenye 'ding-dong' yake..saaafi!!..lazima aache kukupiga.
   
 17. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #17
  Jan 4, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wengi wao ni wavulana waliokua kimaungo tu na co kiakili,malimbuken na waliokosa kujiamin!wanaume suruali tu.
   
 18. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #18
  Jan 4, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Yani sijui tuseme nini...Inategemea wamelewa vipi hao wanaume.

  Kuna nyumba zingine mwanamke hafanyiwi kabisa heshima.

  Inabidi tuwape pole wake zao, na mama zao walivyo teswa na baba zao.
   
 19. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #19
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Aisee! Buji upo extremly right! Wanaume wenye tabia hizo muache jamani!! prove your manhood by fighting temptations, working hard, meeting responsibilities, fulfilling promises and being honest!! Sio kuleta ubabe manyumbani...
   
 20. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #20
  Jan 5, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,319
  Likes Received: 22,160
  Trophy Points: 280
  Kuna kipindi nilikuwa napiga sana tungi, basi jamaa yangu mmoja alikuwa akimpenda sana baa medi mmoja pale NBC Club, yule demu alikuwa na bwana mtemi.
  Basi jamaa yangu kila akipigwa na yule mtemi, hasira zake akawa anamalizia kwa kumpiga mkewe nyumbani kwake.
  Kweli kabisa, wanaume wanaopiga wake zao ni wanyonge sana kwa wanaume wenzao/
   
Loading...