Wanaume wengi wameumizwa na wasichana wao wa kwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume wengi wameumizwa na wasichana wao wa kwanza

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kiranja Mkuu, Jun 27, 2011.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hii ni kwasabu vibuinti vingi havijatulia na hudanganywa kirahisi kwa chips mayai, vocha nk
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kwa sababu mnawapa chps ndo maana wanawapiga vbuti..
   
 3. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  thread haina maana hiyo.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  kichwa cha habari na thread haviendani kabisa.
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  He! Mpenzi wa kwanza ndio unaanza safari, safari zote zina milima na mabonde. Hakuna njia iliyonyooka. inawezekana hukufanya chaguo sahihi.
   
 6. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  sipati picha hapo
   
 7. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  kumbe unaongelea mapenzi ya shuleni,chips mayai?????? siku hizi dau la chini vitz, hujanunua vitz we anza tu
   
 8. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #8
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  kuumizwa ni kote kote mjomba....kuna wanaume tumeumiza sana mabinti za watu na wao wameumiza wanaume pia.
  ukimuumiza binti ujue kuna kidume nacho chaumizwa mahali na binti.
   
Loading...