Wanaume wengi wamepunguwa nguvu za kiume kwa sababu ya vimini vya dada zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume wengi wamepunguwa nguvu za kiume kwa sababu ya vimini vya dada zetu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by muhogomchungu, Jan 22, 2011.

 1. muhogomchungu

  muhogomchungu JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 375
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kukuwa kwa biashara ya dawa za kuongeza nguvu za kiume kunatokana na uvaaji wa kinadada wetu. yaani mwili wake wote huwa nje na wengine hata matiti yake huwa wazi pindi akitembea sehemu za watu sio. kwa kuwa macho huona na huona ni jambo la kawaida tu.
  kwa hivyo kuna uwezekano sana wa mwanamme kuona jambo la kawaida.
   
Loading...