Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

Nina miaka 57,sijawahi kuona mwanaume asiyechepuka, unamiaka mingapi mjukuu wangu?
Hawajui wanaume... Ila pia wengi hawawajui wanawake.... Kuna mwanamke ukiambiwa anachepuka unaweza bisha usiku kucha... So wanaume huwa wanajiona wajanja wakitoka kwa mchepuko kumbe na mkewe alichepuka pia, dunia hii vikojoleo vinasumbua jinsia zote.. Hii ni tangu zamani
 
Ila kwa nini mambo yasiyo na sifa kwenye jamii ndo wanaume huwa mnajisifu nayo????
Naturally, mwanaume yupo hivyo ukiacha wivu wenu wa kutaka uwe wewe peke yako kwa mwanaume na ukiacha sheria za kibeberu za monogamy, rejea vitabu vitakatifu, utaona asili ya binadamu kati ya mtu Mme na mtu mke, utaelewa namaanisha nini. Naamini umenielewa au niongeze sauti.
 
Kuna wanaume wameoa wake sio wao ndo mana wanachepuka kutafuta wake zao, same with wanawake, bahadhi yao wameolewa na wanaume sio wao, ndio maana wanachepuka kutafuta waume zao.
Mwanaume chepuka kadri uwezavyo hadi upate soul mate, utaona mwenyewe unatulia. Ila mwanamke kuchepuka sana ni umalaya, tulia na uliyekuwa naye, utapata ukimwi. Sheenzi taipu.💪💪💪
😂😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Alafu akitoka job mke unampokea ujui hili wala lile unajua una bwana kumbe loooh

Ukifika usiku unashangaa unaambiwa leo mke wangu nimechoka sana kazi zilikuwa nyingi kumbe mwenzio kaachwa vizuri
Mimi mwenyewe najiandaa kutafuta kaform six leaver kamoja matata nikahudumie.....ili kanihudumie kabla sijatia timu kwa wife kwani ana chonga huyo......na hivi sasa huku kuna baridi natupia koti lenye kofia huku nimetandika headphone anajua namsikiliza kumbe mwenzie nakula ngoma za bob marley ....survival....kinky reggae....root rock reggae na zem crazy bald head
 
We nawe mbeya, mambo mengine kaushaga, kwanini ushinde dukani au na wewe unawawinda?? kaa ndani msubirie mumeo ukiwa unamuombea
Sasa nisifanye biashara yangu ili nisione michepuko ikipita
Hahahaa

Macho hayana pazia

Alafu nikiwakazia macho huwa wanapandisha viooo
 
Naturally, mwanaume yupo hivyo ukiacha wivu wenu wa kutaka uwe wewe peke yako kwa mwanaume na ukiacha sheria za kibeberu za monogamy, rejea vitabu vitakatifu, utaona asili ya binadamu kati ya mtu Mme na mtu mke, utaelewa namaanisha nini. Naamini umenielewa au niongeze sauti.
Ongeza sauti
 
Nipo na mchepulo muda huu
IMG-20190720-WA0005.jpeg
 
Mimi mwenyewe najiandaa kutafuta kaform six leaver kamoja matata nikahudumie.....ili kanihudumie kabla sijatia timu kwa wife kwani ana chonga huyo......na hivi sasa huku kuna baridi natupia koti lenye kofia huku nimetandika headphone anajua namsikiliza kumbe mwenzie nakula ngoma za bob marley ....survival....kinky reggae....root rock reggae na zem crazy bald head
Na hii ndio sababu ya wanaume wengi kuchepuka, mwanamke mdomo ka chuchunge aisee.
 
Povuu 😂 😂 😂 ukweli utabaki kuwa hata wa kwako anachepuka hakuna umalaya wala nini...
Na huo ndio ukweli mchungu ndio maana, huwa natimiza majukumu yangu kama baba wa familia, kuilinda na kuisimamia hayo mengine ya kuchepuka au kutochepuka namuachia Mungu Baba wa majeshi, I have no such useless time kufatilia mtu mzima aliyelelewa na wazazi wake.
Waswahili wanasema, ukimchunguza sana bata hutoweza kumla.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom