Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 852
- Thread starter
- #21
Nazingatia muda, eneo na umriwao wanachepuka na wake /wasichana ambao bado hawajaolewa?,utajuaje ni mume wa mtu
Nazingatia muda, eneo na umriwao wanachepuka na wake /wasichana ambao bado hawajaolewa?,utajuaje ni mume wa mtu
Siku za mwizi zikifika utaomba poooh wewe endeleaAiseeh, uzuri ni kwamba tunachepuka na hao hao matha house unawapa warning wafanye maombi, sema wanawake ni wajanja wanachepuka asubuhi sana (either njiani wakati wa kwenda job au biashara na huko kazini kabla wenzake hawajaja), mida ya breakfast na lunch.
Ikifika jioni wanawahi nyumbani kama vile hakuna kilichotokea.
nikumsumbua Mungu kuombea mtu mzima anayejua jema na baya.Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini
1.Wanatumia muda wa break fast
2.Muda wa lunch
3.Na baada ya kutoka job kabla ya kufika nyumbani
3.Akifika nyumbani mpoleee kama hakuna kilichotokea
WARNING :Matha House zidisha maombi juu ya hawa watu janga hili ni kubwa bila Mungu haiwezekani
Ova
Sio tatizo kwasababu Wanachepuka na wake za watu ....Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini
1.Wanatumia muda wa break fast
2.Muda wa lunch
3.Na baada ya kutoka job kabla ya kufika nyumbani
3.Akifika nyumbani mpoleee kama hakuna kilichotokea
WARNING :Matha House zidisha maombi juu ya hawa watu janga hili ni kubwa bila Mungu haiwezekani
Ova
Inaelekea una uzoefu wa hiliAiseeh, uzuri ni kwamba tunachepuka na hao hao matha house unawapa warning wafanye maombi, sema wanawake ni wajanja wanachepuka asubuhi sana (either njiani wakati wa kwenda job au biashara na huko kazini kabla wenzake hawajaja), mida ya breakfast na lunch.
Ikifika jioni wanawahi nyumbani kama vile hakuna kilichotokea.
Una umri gani?Nitafanya yote ila si kutembea na mume wa mtu
WaambieWanaume tuache kuchepuka aise
Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini
1.Wanatumia muda wa break fast
2.Muda wa lunch
3.Na baada ya kutoka job kabla ya kufika nyumbani
3.Akifika nyumbani mpoleee kama hakuna kilichotokea
WARNING :Matha House zidisha maombi juu ya hawa watu janga hili ni kubwa bila Mungu haiwezekani
Ova
Kupeana magonjwa tuTatizo mmekuwa wengi kuliko sisi. Tunasaidiana
Kupeana magonjwa tuTatizo mmekuwa wengi kuliko sisi. Tunasaidiana
Pigia mstariInaelekea una uzoefu wa hili
NajifunzaSio tatizo kwasababu Wanachepuka na wake za watu ....
Mungu awakumbushe tu kuwa kiama kiponikumsumbua Mungu kuombea mtu mzima anayejua jema na baya.
Si ndo kabla ya kufika home anadanyanga mpira kumbe mmhMuda wa jioni umekosea kabisa, huu ni muda wa wanawake walioolewa na wanafanya kazi, wanautumia sana muda huu
Kwani initial usiowe wawiliKhaa mko wengi sana. Sasa wenzenu wawasaidie nani?
Unaonyesha mzoefu sanaUmesahau semina.
Mechi za mpira za usiku.
Viporo vya ofsini usiku.