Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

Aiseeh, uzuri ni kwamba tunachepuka na hao hao matha house unawapa warning wafanye maombi, sema wanawake ni wajanja wanachepuka asubuhi sana (either njiani wakati wa kwenda job au biashara na huko kazini kabla wenzake hawajaja), mida ya breakfast na lunch.
Ikifika jioni wanawahi nyumbani kama vile hakuna kilichotokea.
Siku za mwizi zikifika utaomba poooh wewe endelea
 
Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

1.Wanatumia muda wa break fast
2.Muda wa lunch
3.Na baada ya kutoka job kabla ya kufika nyumbani
3.Akifika nyumbani mpoleee kama hakuna kilichotokea

WARNING :Matha House zidisha maombi juu ya hawa watu janga hili ni kubwa bila Mungu haiwezekani

Ova
nikumsumbua Mungu kuombea mtu mzima anayejua jema na baya.
 
Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

1.Wanatumia muda wa break fast
2.Muda wa lunch
3.Na baada ya kutoka job kabla ya kufika nyumbani
3.Akifika nyumbani mpoleee kama hakuna kilichotokea

WARNING :Matha House zidisha maombi juu ya hawa watu janga hili ni kubwa bila Mungu haiwezekani

Ova
Sio tatizo kwasababu Wanachepuka na wake za watu ....
 
Aiseeh, uzuri ni kwamba tunachepuka na hao hao matha house unawapa warning wafanye maombi, sema wanawake ni wajanja wanachepuka asubuhi sana (either njiani wakati wa kwenda job au biashara na huko kazini kabla wenzake hawajaja), mida ya breakfast na lunch.
Ikifika jioni wanawahi nyumbani kama vile hakuna kilichotokea.
Inaelekea una uzoefu wa hili
 
Khaa mko wengi sana. Sasa wenzenu wawasaidie nani?
Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa wanachepuka mida ya mchana wawapo kazini

1.Wanatumia muda wa break fast
2.Muda wa lunch
3.Na baada ya kutoka job kabla ya kufika nyumbani
3.Akifika nyumbani mpoleee kama hakuna kilichotokea

WARNING :Matha House zidisha maombi juu ya hawa watu janga hili ni kubwa bila Mungu haiwezekani

Ova
 
Kuna wanaume wameoa wake sio wao ndo mana wanachepuka kutafuta wake zao, same with wanawake, bahadhi yao wameolewa na wanaume sio wao, ndio maana wanachepuka kutafuta waume zao.
Mwanaume chepuka kadri uwezavyo hadi upate soul mate, utaona mwenyewe unatulia. Ila mwanamke kuchepuka sana ni umalaya, tulia na uliyekuwa naye, utapata ukimwi. Sheenzi taipu.💪💪💪
 
Back
Top Bottom