Wanaume wengi wa JF na facebook ni wachovu tofauti na wanaume wa mitandao mingine

Aisee. Umewajuaje sasa au kwa haya maandishi tu ndio yamekufanya ujiaminishe yote hayo.

Pia pole sana sababu leo utawatambua na nahisi huwajui vizuri. Hivyo jipange.
Shogaangu naona kinawasha
 
JF Ndio Ngome Pekee Iliyobakia Na Wanaume Tunaoitwa Gentleman Huko kwengine Tumewaachia Wanaume Mnaojinadi Kutwa Mnafanyabiashara Za Sura, Makalio, Mapaja Mazuri na Shape Najua Huko Ulikotoka Hupigwi Kuni za Kutosha Ndio Maana tangu Uingie HuMu Huishi Kuweweseka Punguza Genye Hizo Vitu Huziwezi
Heheeeee halooooo
 
Kwani Jf madhumuni yake ni kuhongana pesa wakuu?,kama unategemea kumchuna Mtu au umezoea kula vya bure Wanaume wa huku siyo mafamba kama uwazaniavyo
 
Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani
7db15487b406304c0c1c56b97d45cdaf.jpg

056a08cc199a0e6c755866d488d6a397.jpg

Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi

1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit

Povu ruksa jomon
na upati hata mia! nenda kwa mzee wa mia 900 atakupatia!
 
Habari ndio hiyo wanaume wanaotumia mtandao huu wa jf na facebook mnaongoza kwa uchovu na hali mbaya, hasaa hawa wa jf ndio kichefuchefu maneno mengi yamewajaa lakini mifuko imetoboka na mapenzi hamjui hasa wale wa mkoani
7db15487b406304c0c1c56b97d45cdaf.jpg

056a08cc199a0e6c755866d488d6a397.jpg

Ifuatayo ndio mitandao yenye wanaume wenye pesa na wanaojua mapenzi

1.twitter
2.skype
3.Badoo
4.snapchat
5.reddit

Povu ruksa jomon
Pm nianze na wewe
 
Back
Top Bottom