Wanaume wengi ni wapenzi wa jinsia moja bila kujijua! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume wengi ni wapenzi wa jinsia moja bila kujijua!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mkonowapaka, Oct 18, 2011.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  naomba niwasilishe mtazamo wangu wa masuala ya mahusiano na urafiki.....

  unakuta mwanaume mtu mzima ana mpenzi/mke na wanaishi pamoja au hata mbali kidogo,jamaa kila kukicha ni ugomvi na mwenziwe..hana muda wa kukaa na mpenzi wake wakacheka na kufurahi plus kuongea mambo ya maana na mipango ya maisha.........akitoka ofisini ni straight wanameet na marafiki zao...wanapeana stories wanacheka wanafurahi mpaka basi....njoo nyumbani sasa..hakukaliki!!achilia mbali tangu ametoka nyumbani asubuhi hajaulizia kuna hali gani,,mama akipiga simu inajibiwa kwa hasira!!!akipiga mshkaji mwanaume mwenzie inapokelewa kwa furaha na vicheko...hizo ni dalili tosha kwamba wewe ni mpenz wa jinsia moja au unapenda wanaume wenzio kuliko wanawake basi tu hujapata exposure ya kutosha ungekuwa ushatusuliwa.....au pengine..who knows!!

  wanaume wenye tabia hizi inabidi mbadilike........sisemi uckae na jamaa zako la hasha..ila familia/mke/mpenzi should come first always.....

  na vice versa is truu kwa dada zetu..
   
 2. F

  Ford89 Senior Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Daah,upo sawa kabisa
   
 3. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Interesting observation....
   
 4. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Sidhani kama tafsiri ya hii kitu iko kama ulivyoiweka...
  Kukosa muda wa kuongea na mpenzi inaweza kuwa inasababishwa na mambo mengi hapo nyumbani..na inaweza kutokea hata kwa mke kutokuwa na muda na mumewe...
  Hili la kusema eti wanaume wanaokuwa wanatumia muda mwingi na wanaume wenzao kwamba..wangeshatusuliwa..limekaa 'kiumbea zaidi'..unahitaji kutoa facts kuthibitisha..
  otherwise mie naona hii yote ni marriage hangover'..means ukikaa sana kwenye ndoa ..unakuwa kama unaboreka..
  ni mtazamo wangu tu lakini!!!
   
 5. K

  KipimaPembe JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 5, 2007
  Messages: 1,287
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mkonowapaka unakwaza!!

  Hakuna anayeanza tu kumchukia mwenzie wakati alikuwa mpenzi wake hadi akaamua kumuoa. Ukiona ghafla anaanza kuwamaindi marafiki zake na kuwa mkali kwa mke ujue kuna sababu ambayo unaifumbia macho!! Huyo mke yeye hachangii chochote?
   
 6. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Kwani....kila mtu/rafiki (wa kike au kiume) unayespend time naye mkingea/mkanywa/mkafurahi basi ni 'mpenzi' wako? Kama ni hivyo basi wengine hapa tuna wapenzi kwa mamia!
   
 7. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  ukitulia vizuri na ukajipa muda wa kutafakari utaelewa na maanisha kitu gani..........huwezkunielewa kwa kusoma kijuu juu...it can be yes or no depending pia na perception yako..but relax n read it again...there is a problem somewhere
   
 8. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Inategema kama mwanaume anakua na marafiki zake na urafiki wao ni mapenzi ya kukaa pamoja tuu na hayana uhisano wowote namatamanio ya kingono, basi huyo ni ana boreka na tabia za mkewe tuu ,Ila kama ana kaa na hao rafiki zake na ni anavutiwa nao kingono ,basi huyo sio mpenzi wa jinsia moja, huyo ni mpenzi wa jinsia zote (Bisexual) , ila moja imepitiliza zaidi.
   
 9. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  utafiti uchwara
   
 10. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Title na maelezo ni sawa na Mashariki na Magharibi......
   
 11. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  inahitajika kukaa chini kunielewa vizuri....nimesema kwamba si lazima uonyeshe sign yeyote ya kumhitaji mtu bisexually or whatever...pia apa nazungumzia wale ambao hawajitambui kbisa kama wanamrengo huo..........wanajiona wako sawa kbs napengine wala hawajui izo michezo...ni suala la kisaikolojia zaidi..
   
 12. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  da nilistuka ; niseme kuwa maelezo yako yamegubikwa na wingu la hasira dhidi ya jinsia ya kiumeni!
   
 13. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Na jee akiwa hafurahi home na hana marafiki?
   
 14. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #14
  Oct 18, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145

  Duh kumbe mmeo/mpenzi wako ndivyo alivyo eeh, Wengine siye tunakaaga na mke yangu banah, nacheka na watoto. Pole sana
   
 15. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #15
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Haka ka idea sijui umekapata wap mkuu?
   
 16. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kweli interesting observation...but whats also interesting ni je unajua sababu zinazowafanya wanaue wakae baa na jamaa zao na so kurudi nyumbani na kuspend time na wake zao? ni rahisi sana kupoint finger kwa wanaume ila je wewe mke ulishafanya yote ili mumeo awe anataka kuja nyumbani kwanza na sio marafiki au kona bar?
   
 17. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Duh! hii kali bora ungeichujua kidogo.......
   
 18. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  yeah_mbingu na nchi.
   
 19. angomwile

  angomwile Member

  #19
  Oct 18, 2011
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 81
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Hapo mkuu sikuingi mkono asilimia 100 ila uzoefu unaonesha kuwa katika mahusiano mengi kumekuwa na hii tabia ya wanawake kuwaletea kero mbalimbali wanaume wao na hii ndo sababu wengi wao wanakuwa na ukaribu sana na mwrafiki zao kuliko wapenzi wao,hii ni kwa maono yangu nawasilisha hoja.
   
 20. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,934
  Likes Received: 2,085
  Trophy Points: 280
  'Wapenzi wa jinsia moja' maana yake nini? Kama unakusudia kusema 'ushoga' nadhani sio sahihi. Ushoga ni zaidi ya platonic love....mtu anavutiwa kufanya ngono na mtu wa jinsia yake. Sasa kama kitendo cha kukaa bar pamoja ama kufurahiana mnapo ongea kwenye simu ni ushoga then urafiki ni nini?
   
Loading...