Je, Wanaume wengi hufa mapema kutokana na msongo wa mawazo (frustrations) unaosababishwa na wake zao?

Hii mada imenifanya nipige hesabu ya wa baba walitutoka hapa mtaani na kuwaacha wajane na kwa haraka haraka nimepata idadi ya wanaume 8.

Nawaomba Mtambuzi na MziziMkavu mtudadavulie hili
 
Last edited by a moderator:
Kwanza kibaolojia inatambulika hivyo kwamba female have life longer than male! Sababu za kimazingira ya kidunia zinasambambishwa ufaji wa wanaume mapema!
Mf. Kazi zote zenye ku'risk maisha hufanywa na wanaume .
Angalia kazi hizi chache nyingi hufanywa na wanaume (japokua female hujichanganya nazo bt kw kiwango kidogo sana)
1. Motorvehicle accidents
2. Durin wars event.
3. Fishin'
4. Minin'
Hata commited suicide data zinaonesha wanaume wanaongoza.
Wezi, vibaka, majambazi , matapeli (wazee wa magumashi, vibaka statistics zinasoma wanaume wanaongoza.
Kazi hatarishi za viwandani pia zinatajwa uchangiaji.
Maradhi such as cancer , Tb, wanaume wanaongoza kufuatia matumizi yao ya sana visababishi vya maradhi hayo.
Statistics za kidunia zinasoma avarage ya life kwa mwanaume ni 72 yrs kwa 79 kwa wanawake!
Aidha hadi sasa statistics za kidunia zinatambua binadamu aliyeishi muda mrefu , pengine kupita wote ni Bi. Jeanne Calment (French citizen) alikufa na 122 yrs, born at 1875 and die 1997 na hilo ndiyo somo langu la leo.
 
Dah!
Nina miaka 58 sasa na kuna mingo zangu nimezitega na zitaanza kutapika mamilion miaka 15ijayo,kwahiyo ntakua nimebugi men?maana ntakua na 73 kimahesabu na kwamba sitafikisha umri huo.
 
Back
Top Bottom