Wanaume wengi hufa mapema kutokana na 'frustration' za wake zao(...?) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume wengi hufa mapema kutokana na 'frustration' za wake zao(...?)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mshiiri, Sep 3, 2009.

 1. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Ni muda mrefu nimekuwa nafanya utafiti katika hii kanda ya mapenzi na kugundua kuwa wanaume wengi hufa kabla ya wake zao hata kama wamezaliwa mwaka mmoja na kubaini kuwa tabia za wake zao huwafadhaisha na kuwafanya waishi maisha magumu sana na kupata yale maradhi ya kufisha kama HYPERTENSION, SAIKOSISI, STROKE N.K

  Madhanio wakati wa utafiti ni kuwa je wanaume wasio katika ndoa je wanashambuliwa sana na magonjwa haya ya kufisha kama cohort wao walio katika ndoa? Hatimaye ikabainika kuwa wasio katika ndoa ni wachache sana karibu na hamna ila walio kwenye ndoa ni wote, kama sio aina moja ni nyingine. Hitimisho likawa wanawake huchangia vifo vya mapema vya wanaume katika ndoa.

  Je, ni kwanini? Hii ni sehemu nyingine wazi ya utafiti.

  Je. kuna aliyefanya utafiti binafsi kuhusu hili na nini hatima yake?

  Nawasilisha!

  =========
  Chris Mauk anasemaje?

   
 2. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2009
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Sina uhakika kama hii ina ukweli.

  Mawazo yangu ni kuwa, zamani labda hata sasa hivi wanaume ndio walikuwa wanafanya kazi na wamama wanakaa ndani tu.

  Sasa unajua tena mitulinga ya kazini inavyodhoofisha miili ..na hii inajionyesha sana wakati wa uzeeni..na yawezakana ikachangia wanaume kuzeeka na kufariki mapema kuliko wanawake
   
 3. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hayo ni maajabu ya nature,....kwani hayaishii kwa binaadamu peke yake. Chunguza hata mifugo na wanyama wa majumbani....

  Paka/mbwa/ng'ombe/mbuzi/jogoo dume wataishi muda mrefu lakini jike ndilo litalo survive longest.

  Kwenye maisha ya ndoa vile vile, mara nyingi wanaume ndio hufariki kwanza, labda kwa kuwa wanaume wengi huoa wanawake walio na umri mdogo kwao. Vile vile ikumbukwe miili ya kina mama ina ziada ya hormones kukabiliana na misukosuko ya ubebaji mimba hivyo kuwafanya wawe na bonus ya umri zaidi tofauti na 'wasaga lami'.

  Maoni yangu tu...
   
 4. Mateso

  Mateso JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2009
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 240
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Umesema walio ktk ndoa ni wachache. Je life span yao ikoje kwa kuwa hawana watu wa kuwapa pressure? Ama utafiti wako umeishia kwa waliooa tu. Tujuze kama nikutoa talaka tutoe ili tuweze kuishi siku zinazostahili.
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kama ni kweli wanawake ndio watakuwa wanachangia as i see them kama viumbe wenye endless needs and complications
   
 6. K

  Kaingilila Member

  #6
  Sep 3, 2009
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nina mashaka na utafiti wako, katika utafiti wangu wa kupitia makala mbalimbali ukweli ni kwamba wanaume tulio wengi tunajiusisha na maisha hatarishi kama kunya pombe kupindukia, uvutaji wa sigara, kula chakula kingi kuliko mahitaji halisi ya mwili na majukumu mengi ya ziada zikiwemo nyumba ndogo ambazo zinatupa misongo(stress) mingi katika maisha.

  Lakini pia wanaume wengi hasa wa kiafrika tunapenda kujiona tuko ngangari matatizo madogomadogo ya mwili tunavumilia, lakini wanaweka wengi wanakimbilia hospitali kujua tatizo ni nini sababu hawavumilii matatizo ambayo yanaonekana ni madogo hivyo wanajikinga na magonjwa mengi.

  Matokeo yake wanawake wanaishi miaka mitano na zaidi kuliko wanaume.
   
 7. m

  mbwembwe Member

  #7
  Sep 4, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni kweli kabisa , wanawake ukaa mda mrefu sabau wanajali san afya zao ila sisi madume twajifanya tumeumbwa kwa mateso , na ujuwaji mwingi sana kwenye maisha , kama vile kutowashirikisha wake zetu kutokana na matatizo yetu tunayoyapata either kazini or mtaani ndio maana tunakuwa na majukumu yanayoshinda uwezo wetu wa kufikili.
   
 8. Bazazi

  Bazazi JF-Expert Member

  #8
  Sep 4, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 2,025
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Sina uhakika na utafiti wako ila ninachoweza kuchangia ni kuwa waname wengi hufa haraka zaidi iwapo wake zao ndio watakao anza kufariki kuliko wanawake wanaofiwa na waume zao. Ni kwanini? sijui labda tuwaachie wataalam wa sosholojia watusaidie kutafuta uhalisia wa haya mambo.
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Utafiti wako unafanana na ukweli kabisa.

  Hali hiyo ipo kila mahala!

  Hata mimi naamini kwamba presha za mwanaume za kuendesha maisha ya familia zinamcost calories nyingi sana kiasi ana`wear-out` haraka sana, hatimaye anajisababishia sumu mwilini na kuwahi kunako haki!.
   
 10. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #10
  Sep 4, 2009
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dear Kaiingilia na Mbwembwe nakubaliana na nyie kabisa, hizo ndizo sababu zinazotuua haraka kuliko wanawake.
   
 11. N

  NG'WANENE New Member

  #11
  Sep 4, 2009
  Joined: Dec 6, 2007
  Messages: 3
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 5
  One important reason is the big delay “and advantage” women have over men in terms of cardiovascular disease, like heart attack and stroke. Women develop these problems usually in their 70s and 80s, about 10 years later than men, who develop them in their 50s and 60s. For a long time, doctors thought the difference was due to estrogen. But studies have shown that this may not be the case, and now we know that giving estrogen to women post-menopause can actually be bad for them.

  One reason for that delay in onset of cardiovascular disease could be that women are relatively iron-deficient compared to men “especially younger women, those in their late teens and early 20s” because of menstruation. Iron plays a very important part in the reactions in our cells that produce damaging free radicals, which glom onto cell membranes and DNA, and may translate into aging the cell. In fact, in our diets, red meat is the main source of iron, and lack of iron is probably one major reason that being vegetarian is healthy for you. There was a very good study looking at the intake of red meat and heart disease in Leiden in the Netherlands: in regions where people didn't eat red meat, those populations had half the rate of heart attack and stroke compared to the populations that did eat red meat.

  Another more complicated possibility [for women's longevity] is that women have two X chromosomes, while men have one. (Men have an X and a Y.) When cells go through aging and damage, they have a choice in terms of genes “either on one X chromosome or the other. Consider it this way: you have a population of cells, all aging together. In some cells, the genes on one X chromosome are active; in other cells, by chance, the same set of genes, with different variations, are active on the other X chromosome. Don't forget, we all have the same genes” the reason we differ is because we express different variations of those genes, like different colors of a car. Now, if one set of variations provides a survival advantage for the cells versus another, then the cells with the advantage will persist while the other ones will die off, leaving behind more cells with the genes on the more advantageous X chromosome. So, in women, cells can perhaps be protected by a slightly better variation of a gene on the second X chromosome. Men don't have this luxury and don't get this choice.

  It's very unclear [how big an effect that could have]. I've seen men who have done horrendous damage to themselves over time with smoking and drinking and who still get to 100 and older though that's very, very rare. They might have the right combination of some really special genetic variations that we call "longevity enabling genes” which we're on the mad hunt for. Meanwhile other individuals may do everything right and only make it into their 80s. That may be because they have what we call "disease genes," some genetic variations that are relatively bad for them. Now some of these [disease genes] may be on the X chromosome, [meaning that women who have the second X chromosome with which to compensate, would have an advantage]. But it's really still a very complicated puzzle to tease out.

  [There are a few other reasons that men die earlier in life more often than women.] Men in their late teens and 20s go through something called "testosterone storm." The levels of the hormone can be quite high and changeable, and that can induce some pretty dangerous behavior among young men. They don't wear their seatbelts; they drink too much alcohol; they can be aggressive with weapons and so on and so forth. These behaviors lead to a higher death rate.

  Another area where we see higher death rates among men is among the depressed “especially older men. If they attempt suicide, they are more likely to succeed than women.

  Overall, about 70% of the variation around average life expectancy [just over 80 for women and just over 75 for men in the U.S.] is probably attributable to environmental factors your behaviors and your exposures. Probably only 30% is due to genetics. And that's very, very good news. There's so much we can do. Most of us should be able to get into our late 80s. What's more, to get to older ages, like the centenarians, you are necessarily compressing the time you're sick to the end of your life. It's not a case where the older you get, the sicker you get. It's very much the case that the older you get, the healthier you've been.

  But, in general, there are maybe three things men do worse than women. They smoke a lot more. (That gender gap is fortunately shrinking, since men are smoking less and less.) They eat more food that leads to high cholesterol. And, perhaps related to that, men tend not to deal with their stress as well as women. They may be more prone to internalizing that stress rather than letting go though that's a fairly controversial point. Nonetheless, stress plays a very important role in cardiovascular disease.

  Source: Breaking News, Analysis, Politics, Blogs, News Photos, Video, Tech Reviews - TIME.com
   
 12. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #12
  Sep 4, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wanaume wanatoa, wanawake wanapokea, unategemea nini?
   
 13. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #13
  Sep 4, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Hizi ni baadhi ya sababu ndugu.....

  another possible cause

   
 14. Mvina

  Mvina JF-Expert Member

  #14
  Sep 5, 2009
  Joined: Aug 2, 2009
  Messages: 1,000
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Zaidi ni pale unaposikia kuwa mkeo anamegwa na rafiki yako au jamaa flani!
  Ndo pale wengi wanakufa na maumivu yao.
   
 15. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #15
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Pamoja na kwamba wanawake ndiyo wamekuwa wakielemewa na majukumu mengi na mazito kimaisha, lakini ni hao hao ambao wamethibitika kuishi kwa muda mrefu kuliko wanaume.

  Kulingana na jarida la Human Nature la huko nchini Marekani ni kwamba tofauti hiyo ya umri wa kuishi kati ya wanaume na wanawake haikuanza jana wala juzi bali ni ya siku nyingi sawa sawa na historia ya binadamu mwenyewe.

  Kwa hiyo ni suala la maumbile. Katika utafiti uliowahi kufanywa ulibaini kwamba tabia iliyopindukia mipaka ya kujihatarisha na kukandamiza mihemko ya kihisia kwa upande wa vijana wa kiume, inahusiana moja kwa moja na vifo vya mapema vya wanaume vijana na hata kupunguza umri wao wa kuishi ukilinganisha na wanawake.

  Tabia nyingine ambazo pia zinawaweka wanaume kwenye hatari ya kufa mapema ni pamoja na uvutaji sugu wa sigara, ulevi, uendeshaji mbaya wa magari na vurugu nyingine.

  Wanaume wengi wana maradhi ya kihisia kuliko wanawake, pamoja na kwamba inaonekana wanawake hukabiliwa sana na sononi za kimaisha.

  Hebu chunguzeni kisha mniambie, ni akina nani wenye Kisukari, shinikizo la juu la damu, matatizo ya moyo, matatizo ya kiakili na mengine yanayofanana na hayo, kati ya wanaume na wanawake?

  Kama mkifanya utafiti wenu kwa makini mtabaini kwamba ni wanaume.

  Hebu niwaulize, hivi ni akina nani wanaokufa kwa kutafuta fedha au umaarufu kati ya wanaume na wanwake?

  Jibu liko wazi. Ukisikia mwanamke ni jambazi utashngaa, ukisikia mwanamke ni tapeli, lazima utashangaa, ukisikia mwanamke mdhulumu mirathi, pia utashangaa. Kitakahokushangaza ni ugeni wa wanawake kwenye aina hiyo ya maisha.

  Wanaume wengi wanaingia kwenye shughuli au tabia hizo hufanya hivyo kwa sababu wanataka kuthibitisha kwamba, wanaweza, wamefanikiwa na kuonesha tofauti yao na wanawake ambao hawajaweza. Wanataka kuwaonesha wanawake kwamba wamemudu.

  Mwanaume huwa na umri mfupi kuliko mwanamke kwa sababu anataka kuwa mkuu, anataka kushinda na anataka kuonesha jamii kwamba, anastahili kuliko wengine.

  Anaposhindwa kuonesha ndipo pale anapoingia kwenye tabia mbaya zaidi kama ulevi wa pombe, uvutaji bangi,utumiaji dawa za kulevya, na kupata sononeko na kusongeka kiakili. Yote haya yana madhara makubwa kwa afya na usalama wake. Yote haya yanamfupishia maisha yake. Anakuwa amechagua kuishi kwa muda mfupi kwa hiyari yake.
   
 16. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Mtambuzi

  1. Unapoongelea mwanamke na mwanaume unajua hapo unaanza ku draw attention on the X and Y choromosomes???

  2. Mbona sababu unazotoa (zilizotolewa) ni habitual than biological/ genetical??

  3. If my memory sails me correctly "The source of illhealth and eventually death is the function of social construnction and necessarily personal habit"

  Tukumbushane zaid wanajamvi
   
 17. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Ni kweli lakini haya ni matatizo ya kimfumo zaidi!

  Mfumo wa maisha ulimfanya mwanaume awe kiongozi kila mahali hivyo alikutana na changamoto nyingi na kumsababishia matatizo.

  Mfano kuna wanaume mpaka leo akipitwa na mwanamke anaendesha gari na yeye hana akili yake inapata kifaduro ghafla na anaojiona kama takataka kwa mwanamke kuwa na gari halafu yeye hana.

  Lakini baada ya wanawake nao kuingia kwenye changamoto za wanaume nao wamejiingiza kwenye hatari hii na hali itabadilika na kuwa 50/50 soon!
   
 18. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  you are right in your analysis... and i guess your prognosis is realistic
   
 19. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #19
  Mar 3, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana na wewe kwa hilo la kimfumo, lakini kwa upande wa wanawake kujiingiza kwenye changamoto za wanaume naweza kutofautiana na wewe kidogo. Kwa mfano, wakati wanaume wanatumia msuli na hata kuhatarisha maisha katika kutambulika, na hasa kutambuliwa na wanawake bila shaka, kwa upande wa wanawake wao hawahitaji sana kutumia msuli wala kuhatarisha maisha yao, ulimbwende walio nao na mbinu za kimkakati za kuwanasa wanaume wenye nazo huwasaidia sana kufikia malengo yao. Kwa mwanamke wao huathiriwa na vita ya wao kwa wao katika kuwanasa wanaume wenye nazo, na labda niseme tu kwamba vita hiyo haiko kwa kiwango kikubwa kama ile ya wanaume katika kutafuta kutambuliwa.................
   
 20. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #20
  Mar 3, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kabisa kabisa hu utafiti ni wa kweli kabisa.
   
Loading...