Wanaume wengi hawanawi sehemu nyeti baada ya haja ndogo

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
519
Wengi wanamaliza haja ndogo tu na kuvaa bila hata kunawa, upesi upesi kama wanakimbizwa; matokeo yake nguo za ndani zinabaki na mikojo then kuleta harufu za ajabu ajabu.

Mtu ni afya, mnawe mara baada ya haja ndogo osheni maeneo yenu kama kina dada wanavyofanya wanawake wengi wanavumilia harufu wakati wa BJ na hata wakati wa faragha wanatamani hata wakimbie.

In short inawakata stimu balaa, na hii huchangia wengi kuibiwa kwa kuwalaghai kuwa mmewafikisha kileleni, maana hakuna hisia tena harufu inaboa.

Inatosha sasa kuwatesa na harufu kali hizo, bora mtumie vyoo kamili ili muweze kusitiri aibu hii na kuacha upesi mkikimbiwa.

Msilaumu, kuweni wasafi maeneo nyeti.
 
kwanini usimshauri kufanya hivyo kuliko kumkimbia itakuwa humpendi eti..
 
Ingawa usafi ni muhimu ila kila mtu ana namna yake katika mapenzi,wengine wakipata wapenzi wachafu hufurahia,kuna mwanamke aliwahi niambie kuwa harufu ya kikwapa ya mpenzi wake humdatisha zaidi kuliko chochote.
 
ni uchafu kukojoa bila kunawa na kwa sisi waislamu hapo utakuwa umetenguka sifa za kuswali kwani mchupi utakuwa na vitone vya mikojo, kama kunawa kazi tembea na toilet paper mfukoni
 
Ingawa usafi ni muhimu ila kila mtu ana namna yake katika mapenzi,wengine wakipata wapenzi wachafu hufurahia,kuna mwanamke aliwahi niambie kuwa harufu ya kikwapa ya mpenzi wake humdatisha zaidi kuliko chochote.
Wazungu ndio hupenda sana hivyo.Wapenzi wao siku zote ni yale mateja ambayo hata kuoga wanapitisha wiki.
 
Mi nkishakojoa nakunguta dushelele langu hadi vitone vyote viishe, namrudisha sehemu yake na mambo mbona yanakuwa powa tu hata hiyo harufu ya mkojo unayoisemea cjawai isikia. Ila mtoa mada yawezekana mpenzio ni mmoja kati ya wale wavivu kufua pichu na anaweza irudia zaidi ya cku tatu, vinginevyo utakuwa unatudanganya. Anza kumpa somo mwenzio awe na tabia ya kubadili kyupi kila siku.
 
Pia hiyo ni muhimu kwa Waislam tu. Mimi na Uislam mbalimbali. Ni kama mbingu na ardhi.
 
Lol, kiduchu bana.
Japokuwa huu utaratibu wa kunawa bila sabuni nao huwa unanitatiza. Kuna siku nilimuambia mdada kavaa skirt yake nzuri kachomekea blouse. Namuona ana majo kwenye makalio. Akasema alinawa toilet, nikastuka kimya kimya. Sie wadada tutabeba wet tissues kwenye bags, hatuhitaji sana kunawa na maji. Wakaka huo ni mtihani. Ila inahusu cha chap chap BJ ubakutana na urea jamani?

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom