Wanaume wengi hawanawi sehemu nyeti baada ya haja ndogo

Wewe unaumwa nini, unafikiri UUME ni sawa na UKE , mwanaume anapokojoa hakuna namna mkojo utagusa sehemu yeyote ya nje ya uume, sasa Wewe unataka anawe nini?, kamwangalie basha wako anapokojoa ili ujifunze.

hacha kutoka POVU hacha matusi changi hoja bila MATUSI sasa kutoa hoja mkali ivyo je ukiambiwa toa Pesa sindio UTAKUFA kabisa kua mstaarabu haukulazimishwa kuchangi hoja ugwana ni vitendo na maneno yako pia ukikaa kimywa hautakua jiwe bado MUTU
 
Hao wachafu mostly huwa ni wakristo kwani hawafundishwi usafi ndio maana hata waendapo haja kubwa wanajipaka kinyesi kwa makaratasi hali ya kuwa maji yapo.
 
Hao wachafu mostly huwa ni wakristo kwani hawafundishwi usafi ndio maana hata waendapo haja kubwa wanajipaka kinyesi kwa makaratasi hali ya kuwa maji yapo.

Usafi una uhusiano gani na dini sasa, mi nafikiri ni tabia tuu ya mtu kama wee ulivyo mdini haimaanishi kwamba na waislam wote ni wadini.
 
mnanikera mnaobisha.ukweli unaumwa.sms sent and devrd kama huwa haunaw fanya hivo.nakumuka kuna kaka mmoja alikuwa anajisemesha wanawake bila kuoga ananuka lakn wanaume nioge asubuh ili iweje.kusogelea ananuka kama mzoga.kina kaka mnanuka ambao hamnaw ebu kubaln ukweli.kama wewe haunuk bas hii haikuhusu ila unakuwa haujijui tu nakukubal.kalia kukarr et wanaume hawana haja ya kunawa huku unatoa harufuuuuu.asante mleta uzi
 
Mi nkishakojoa nakunguta dushelele langu hadi vitone vyote viishe, namrudisha sehemu yake na mambo mbona yanakuwa powa tu hata hiyo harufu ya mkojo unayoisemea cjawai isikia. Ila mtoa mada yawezekana mpenzio ni mmoja kati ya wale wavivu kufua pichu na anaweza irudia zaidi ya cku tatu, vinginevyo utakuwa unatudanganya. Anza kumpa somo mwenzio awe na tabia ya kubadili kyupi kila siku.

Mwaya bora wewe uliyejisemea ukweli, maana wengine wanajifanya wanaosha wakati wanakung'uta tu. Hata hizo urinals zenu zingine hazina bomba za maji licha ya tissue.

Ofisi ninayofanya kazi mimi naona maji na tissue kwenye toilets tu na si urinal, na wanaume hawajacompain hata kuonesha kuna upungufu wowote, na ukiwacheck walivyo mabrazamen na maCEO type.

Ngoja nitajitolea kuchukua maoni yao isije ikawa wananyanyaswa kijinsia na wanashindwa kujieleza.
 
Hao wachafu mostly huwa ni wakristo kwani hawafundishwi usafi ndio maana hata waendapo haja kubwa wanajipaka kinyesi kwa makaratasi hali ya kuwa maji yapo.

Hahahaaaa..... Nimecheka sn mkuu, ila bora wanaotumia hizo karatasi kuliko kuchambia mawe.
 
..... Huyo wa kwako ndo anamatatizo ya kunuka.... lakini wengi hawanuki hata kama hawanawi baada ya kukojoa..... mwambie awe msafi na hakikisha anaoga mara 3 kwa siku
 
Mwaya bora wewe uliyejisemea ukweli, maana wengine wanajifanya wanaosha wakati wanakung'uta tu. Hata hizo urinals zenu zingine hazina bomba za maji licha ya tissue.

Ofisi ninayofanya kazi mimi naona maji na tissue kwenye toilets tu na si urinal, na wanaume hawajacompain hata kuonesha kuna upungufu wowote, na ukiwacheck walivyo mabrazamen na maCEO type.

Ngoja nitajitolea kuchukua maoni yao isije ikawa wananyanyaswa kijinsia na wanashindwa kujieleza.

Bibie lazma tuongee ukweli haoshi mtu hapa, kopo zenyewe za bublic toilet kuzitumia nikienda haja kubwa naona shida, cwezi jua aliyetoka wa mwisho kalitumiaje, nikikosa tissue itabidi zoezi lisitishwe.
Kikubwa hapa mtoa mada angezungumzia usafi wa jumla kwa wanaume hapo ningemuunga mkono kwan wengi wetu hata kuoga ni mwendo wa voda fasta, hata kujisugua na dodoki ama towel ndogo hiyo hakuna, tukishajimwagia maji na kujipaka sabuni tunaona tumemaliza. Hapo hatujaja kwenye vest za ndani na soksi utacheka ufe.
 
Hao wachafu mostly huwa ni wakristo kwani hawafundishwi usafi ndio maana hata waendapo haja kubwa wanajipaka kinyesi kwa makaratasi hali ya kuwa maji yapo.

Unaongea as if wewe ndio unatusafishaga tukienda haja. Hii dini yenu inashangaza sana. Kwa hiyo karatasi linapakaza kinyesi zaidi ya jiwe ambalo ni RIGID? Tena jiwe lenyewe umeliokota hapo nje ambalo mwenzio naye alichambia last week! Kweli mwarabu amewaharibu. Yaani unapakaza kinyesi kwenye jiwe halafu unalitupa nje watoto nao wanaokota kuchezea na unajiita mstaarabu, loh!

Kuhusu kutumia toilet paper, hiyo si sehemu ya dini yetu mpaka utuhusishe nayo. Mimi tangu nizaliwe sijawahi kutumia toilet paper bila maji. Nachojua mimi huwa zinawekwa chooni ili ufute then ndio unatumia maji kuosha. Sasa wewe kwa kuwa unapenda kujimanda mavi na kuyashika kwa kuwa kwako ni ibada lazima uje na maoni tofauti.

Na kwa kumalizia, tunapozungumzia uchafu, tazama mambo yote. Kufuga videvu vyekundu na manywele ya kwapa sio usafi. Ukiona mtu kathubutu kuacha nywele chafu karibu na mdomo anaolia chakula, atanyoa kweli huyo sehemu iliyojificha ndani ya nguo? Yale maguo meusi ya wanawake wakipita juani kwa kuwa yanasharabu joto wakifika kwenye daladala wananuka kama nini sijui..lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom