Wanaume wawili wafia Guest House gongolamboto

kwa mujibu wa radio WAPO
chumba chao kimeungua moto ila godoro halijaungua,feni taa swichi zinafanya kazi, chumba kinaharufu ya mafuta ya taa... shuka na godoro viko tofauti,
Polisi bado wako ndani tusubiri
 
Walienda pigana mambo yao nn???
Inasemekana wameuawa na polisi bado wanachunguza kujua chanzo, maana wameungua moto lakini hakukuwa na short ya umeme na hakuna kitu kingine kilichoungua zaidi ya mashuka.Godoro halijaungua na nguo zao pamoja na funguo za chumba hazijulikani zilipo, mashuhuda waliingia kwa kubomoa mlango baada ya kuona moshi
 
Hapo inawezekana wamewaua eneo lingine na kuzuga watu kuwa wamefia humo. Kuna watu makatili sana humu duniani.
 
Back
Top Bottom