wanaume -wasiooa v/s wanawake wasioolewa

Kila upande unaathirika kwa namna yake,naamini hakuna mwanadamu aliyekamilika ambae hahitaji kuwa na mwenza,tatizo ni namna ya kumpata anayefaa,kuna wanaume majanga,kuna wanawake majanga ukifanikiwa kumpata akufaae tulia.
 
Back
Top Bottom