ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 488
Wakuu ni kundi gani linapata shida sana wakiwa hawana mwenza je ni wanaume au wanawake?
We unaonaje??
naona yule kijana wa thread 10 kwa siku kapata mrithi
wanaume wanapata shida za kike na wanawake wanapata shida za kiume....Wakuu ni kundi gani linapata shida sana wakiwa hawana mwenza je ni wanaume au wanawake?
Mambo bestie, potea sana weweWe unaonaje??