Wanaume wapole na wakimya tuna shida katika kutongoza ila tunaongoza kwa kuwa na wanawake wasio waongeaji

Fanya experiment hii utaleta mrejesho :

Muwe wanaume wawili kisha nendeni mkapange nyumba yenye mabinti wengi (wazuri), kati yenu ninyi wanaume mmoja awe muongeaji sana ..full kujionesha akiwakuta wadada apige nao stori awanunulie vicha soda n.k

Wewe mmoja kuwa mkimya ukiwakuta wamekaa wasalimie 'habari zenu' then endelea na shughuli zako, ikitokea issue ya wote jitokeze ifanye kwa muda kisha kuwa zako cool.

NB: Kwa upande mwingine unaweza onekana unajisikia (tabia za kiuswahilini) ila kwa jamii iliyostarabika mademu/binti watakupenda kingese kuliko huyo mwenzako aliyezoeana.
 
dah ni kweli uku mtaan kwetu kuna jamaa mmoja namuelewaga sana yaan hanaga stor na mtu alafu smart balaa..yaan wanawake wanamkubali sana ukimouna ni kama hajawai kuduu vile..yuko ki gentle mda ote ananukia ata akitoka mazoezin hanuki jasho cjui anatumia spray gani ile..
 
Unampenda huyo bwana.
 
Mimi pia ni mpole kupita kiasi lakini nakutana na wanawake wanaongea kuliko redio Tanzania
Hii ipo sana, wanaume tusiokuwa wazungumzaji ktk kutongoza huwa ni shughuli pevu sana ,ila Mara nyingi tunapendwa na wanawake waongeaji sijui kwa sababu zipi, ikitokea tumemuelewa mwanamke huwa tunapenda ndani kwa ndani inaweza ikatokea umempania kumtokea mwanamke fulani lakini ukifika tu mistari yote imepotea , shughuli nyingine huwa ipo kwa demu unayekuwa naye kama ni muongeaji kupitiliza huwa wana tabia ya kupenda kukutambulisha kwa best friends wao wa karibu sasa usiombe wote wawe waongeaji utabaki bubu,ila Mara nyingi tunaweza tukachukua hata wanawake zaidi ya wawili ktk mtaa mmoja bila wao kujijua, ikitokea unapewa kesi ya kugonganisha mademu watu watakutetea kutokana na ukimya wako,pia huwa tuna aminika sasa, vilevile inasemekana watu aina yetu ndio waasisi wa chaputa(masterbation) sina hakika sana ktk hili.
 
Sio kwa dunia ya sasa..eti uwagonganishe wakutetee? Kwenye mgongano kuna kuangalia upole? Labda kama hao wanawake ni mazuzu
Kwahiyo yule manzi uliyefuma picha za utupu kwenye cmu ya mumeo hutamuacha hiv hiv???
 
Upole kimuonekano, mkorofi kiuhalisia
Huyu sasa ndio mm.Niwe muwazi tu..Mm ni mkimya sio mpole..na sifa yangu kubwa sijawah kupendwa na demu hata siku moja.huyu nilie nae kwakwel ilikua bahat tu ndio mana nikaona nioe kabisaa maana nikimkosa sijui kama nitaweza pata mwingine kirahis rahis..
 
Wakimya ndio wanakuaje mkuu... Naomba tofaouti kati ya mkimya na mpole
 
Back
Top Bottom