Wanaume wapole na wakimya tuna shida katika kutongoza ila tunaongoza kwa kuwa na wanawake wasio waongeaji

venance7

JF-Expert Member
May 15, 2019
554
1,634
Hii ipo sana, wanaume tusiokuwa wazungumzaji ktk kutongoza huwa ni shughuli pevu sana ,ila Mara nyingi tunapendwa na wanawake waongeaji sijui kwa sababu zipi, ikitokea tumemuelewa mwanamke huwa tunapenda ndani kwa ndani inaweza ikatokea umempania kumtokea mwanamke fulani lakini ukifika tu mistari yote imepotea , shughuli nyingine huwa ipo kwa demu unayekuwa naye kama ni muongeaji kupitiliza huwa wana tabia ya kupenda kukutambulisha kwa best friends wao wa karibu sasa usiombe wote wawe waongeaji utabaki bubu,ila Mara nyingi tunaweza tukachukua hata wanawake zaidi ya wawili ktk mtaa mmoja bila wao kujijua, ikitokea unapewa kesi ya kugonganisha mademu watu watakutetea kutokana na ukimya wako,pia huwa tuna aminika sasa, vilevile inasemekana watu aina yetu ndio waasisi wa chaputa(masterbation) sina hakika sana ktk hili.
 
Sio kwa dunia ya sasa..eti uwagonganishe wakutetee? Kwenye mgongano kuna kuangalia upole? Labda kama hao wanawake ni mazuzu
 
Hii ipo sana, wanaume tusiokuwa wazungumzaji ktk kutongoza huwa ni shughuli pevu sana ,ila Mara nyingi tunapendwa na wanawake waongeaji sijui kwa sababu zipi, ikitokea tumemuelewa mwanamke huwa tunapenda ndani kwa ndani inaweza ikatokea umempania kumtokea mwanamke fulani lakini ukifika tu mistari yote imepotea , shughuli nyingine huwa ipo kwa demu unayekuwa naye kama ni muongeaji kupitiliza huwa wana tabia ya kupenda kukutambulisha kwa best friends wao wa karibu sasa usiombe wote wawe waongeaji utabaki bubu,ila Mara nyingi tunaweza tukachukua hata wanawake zaidi ya wawili ktk mtaa mmoja bila wao kujijua, ikitokea unapewa kesi ya kugonganisha mademu watu watakutetea kutokana na ukimya wako,pia huwa tuna aminika sasa, vilevile inasemekana watu aina yetu ndio waasisi wa chaputa(masterbation) sina hakika sana ktk hili.
Fact mzazi, hakuna apingaye juu ya hili
Wapole tunatabu sana ila watoto wanatuelewa
Wenyewe unakuta mtu hauna hata mpango nae shobo kbao.
 
Hii ipo sana, wanaume tusiokuwa wazungumzaji ktk kutongoza huwa ni shughuli pevu sana ,ila Mara nyingi tunapendwa na wanawake waongeaji sijui kwa sababu zipi, ikitokea tumemuelewa mwanamke huwa tunapenda ndani kwa ndani inaweza ikatokea umempania kumtokea mwanamke fulani lakini ukifika tu mistari yote imepotea , shughuli nyingine huwa ipo kwa demu unayekuwa naye kama ni muongeaji kupitiliza huwa wana tabia ya kupenda kukutambulisha kwa best friends wao wa karibu sasa usiombe wote wawe waongeaji utabaki bubu,ila Mara nyingi tunaweza tukachukua hata wanawake zaidi ya wawili ktk mtaa mmoja bila wao kujijua, ikitokea unapewa kesi ya kugonganisha mademu watu watakutetea kutokana na ukimya wako,pia huwa tuna aminika sasa, vilevile inasemekana watu aina yetu ndio waasisi wa chaputa(masterbation) sina hakika sana ktk hili.
girls like nigga who
1, smart
2 gentlemen
3, don't flirt hayo mengine ni maoudmbu udambu ndo maana masela wanaopeda penda kuongea ongea na mademu mara nyingi hupataga shida sana kukubaliwa na mademu
 
Hii ipo sana, wanaume tusiokuwa wazungumzaji ktk kutongoza huwa ni shughuli pevu sana ,ila Mara nyingi tunapendwa na wanawake waongeaji sijui kwa sababu zipi, ikitokea tumemuelewa mwanamke huwa tunapenda ndani kwa ndani inaweza ikatokea umempania kumtokea mwanamke fulani lakini ukifika tu mistari yote imepotea , shughuli nyingine huwa ipo kwa demu unayekuwa naye kama ni muongeaji kupitiliza huwa wana tabia ya kupenda kukutambulisha kwa best friends wao wa karibu sasa usiombe wote wawe waongeaji utabaki bubu,ila Mara nyingi tunaweza tukachukua hata wanawake zaidi ya wawili ktk mtaa mmoja bila wao kujijua, ikitokea unapewa kesi ya kugonganisha mademu watu watakutetea kutokana na ukimya wako,pia huwa tuna aminika sasa, vilevile inasemekana watu aina yetu ndio waasisi wa chaputa(masterbation) sina hakika sana ktk hili.
Mimi sio mkimya, ila normally m not understood nikiongea. Nikikaa na mtu tunaelewana m 1 of the craziest people ulimwengu huu.
 
Hii ipo sana, wanaume tusiokuwa wazungumzaji ktk kutongoza huwa ni shughuli pevu sana ,ila Mara nyingi tunapendwa na wanawake waongeaji sijui kwa sababu zipi, ikitokea tumemuelewa mwanamke huwa tunapenda ndani kwa ndani inaweza ikatokea umempania kumtokea mwanamke fulani lakini ukifika tu mistari yote imepotea , shughuli nyingine huwa ipo kwa demu unayekuwa naye kama ni muongeaji kupitiliza huwa wana tabia ya kupenda kukutambulisha kwa best friends wao wa karibu sasa usiombe wote wawe waongeaji utabaki bubu,ila Mara nyingi tunaweza tukachukua hata wanawake zaidi ya wawili ktk mtaa mmoja bila wao kujijua, ikitokea unapewa kesi ya kugonganisha mademu watu watakutetea kutokana na ukimya wako,pia huwa tuna aminika sasa, vilevile inasemekana watu aina yetu ndio waasisi wa chaputa(masterbation) sina hakika sana ktk hili.
Kabisa

Sisi ndo waasisi wa chaputa

Nishawahi kuwa katibu wa hichi chama
 
Kituko ni hapa tu tunavyovamia huu uzi na kujifanya sifa hizi ni zetu sote

Ina maana Jf sie wote wapole au mi ndo sijaelewa??

All in all mtoa mada umeongea ukweli maana ht mm binafsi sijui kutongoza na neno nakupenda sikumbuki niliwahi kumwambia demu wapi ila huwa najikuta nipo kwenye mahusiano ila kibaya sasa ni kugandwa hata pale unapokuwa huna plan ya kumuoa utasikia "nipo tayari unioe hata bure" au km "Nikupe hela uzuge ndo mahari" Nyie wadada nyie..
 
Back
Top Bottom