BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,032
- 3,944
....Kwa hiyo kwa kifupi ni kwamba UNANUNUA Mwanamke,Mkuu!!Kuna muda mwengine tujikite kutafuta pesa jamani sisi wanaume.
Hata ukiwa mzee, mlemavu, sura mbaya ila pesa kama ipo basi ulimwengu huu kila mwanamke unayemtaka utampata.
Mambo ya kutongoza sana wakati kapuku yamekwisha.