Wanaume wanzangu, pesa ndio itakufanya kupata mke yeyote unayemtaka na hata kuwa nao kumi

Zinaishaje wakati ndo silaha yake

Ndo maana anasema tujikite kuzisaka

Mi naongezea tujikite kuwa na cash flow ya uhakika, itakayokufanya uwe nazo tu, yaan uwe nazo muda wote wa uhai wako
...Mkuu, Billy Gates na Mkewe, Matajiri wakubwa Duniani wenye hela chekwa chekwa wameachana....hapa unasemaje???
 
Banks uwe na cash walau 30 million +, kwenye mobile money zako kusiwe na kila moja na chini ya 6 million, uwe na Gari isiyopongua thamani ya 40 million, uwe na nyumba standard au kama umepanga pawe standard sana na furniture ziwe kiwango na gari uwe nazo kuanzia mbili kwenda juu
... Mkuu, Billy Gates anavyo vyote hivyo tena maradufu lakini yeye na mkewe kila mmoja kachapa lapa!!! Hapo napo??
 
Back
Top Bottom