Wanaume wanene na harufu kali ni kama paka na panya vile

wengi wanakosea kuanzia mavazi, sabuni wanaozoogea mtu una mwili kama lemutuz unaogea lisabuni lisiloeleweka na mwili unachemka 24/7 bado nguo unajivalia tu bila kujali material hasa kwa dar joto kwanini usinuke kama beberu? life it too good and simple unene c sababu the problem ni watu wanavyojikeep na hili ni kwa wote nimeishi na watu wanene wanaojipenda they smile good they dress good lakini wengine wayiiiiiiii cjui wanakilimo cha mafungus
 
Hii vita ya thread za wanawake na wanaume kupondana humu jf naona inapamba moto
 
Sasa kwenye mfereji wa...huwa unafata nini huko?

Na huyo mwanaume anayekuruhusu ufike huko ana matatizo
A million dollar question! Huko mstarini anafikaje, coz mwanaume anayeruhusu hilo hatumuiti mwanaume, huwa wana majina yao.
 
Utawajua tu waliotanuliwa na wanaume wanene hafu wakaachwa bila hata hela yasabuni
Wachafu utawajua tu yupo dar bonge LA mtumbo hajaoga siku ya tatu Leo kapanda usafiri was uma alafu anaongea sana utazani anatoa mahubili...gar zima limenyamaza kimya anadhani watu wanamsikiliza yeye kumbe wanatafakali harufu inayotoka.
 
Inasikitisha sana...

Ingawa umezungumzia wanaume...

Ila unene unahitaji usafi na matunzo kwa pande zote mbili, siyo mwanamke wala mwanaume...

Ukiwa mnene na hujipendi au kujitunza ni hatari na kero uwe mwanaume au mwanamke...


cc: mahondaw
 
Wachafu utawajua tu yupo dar bonge LA mtumbo hajaoga siku ya tatu Leo kapanda usafiri was uma alafu anaongea sana utazani anatoa mahubili...gar zima limenyamaza kimya anadhani watu wanamsikiliza yeye kumbe wanatafakali harufu inayotoka.

Unajuaje hajaoga siku tatu???
 
Muda mwingine mnayataka jamani daaaaah maana unakuta mdada mremboooo anatoka na bonge la mtuuuuu kisa jamaa anampa pesa ya kutosha.
Wakati hata akimaliza kunya hawezi kuchamba vizuri
 
Wanawake ni wepesi tu kuongea lakini wanaume tunakutana na mambo kibao tu na tunachukulia poa na usafi ni mtu mwenyewe hauhusu aina na ya watu
 
Back
Top Bottom