tete'a'tete
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 472
- 62
Wakuu hope mko okay...
Sasa jana narudi zangu kutoka job nakutana na shostisho wangu ananisubiri home na story ilikuwa hivi...
Siku nying amemstukia mumewe kuwa ana uhusianao na secretary wake sasa juzi jioni wakati mumewe anaenda kuonga akachukua simu ya mumewe kwenye lile jina la secretary akabilisha ikaweka namba yake yaani ya mkewe...basi jana asubuhi wakati anaelekea kazini jamaa akamtumia msg kwenye lile jina la secretary 9 ikaenda kwa mkewe) akimwambia:
Mume: Honey leo sintakuwa na muda wa kuonana mimi na wewe sweet wangu kuna sehem naenda..msg akapata mke
Secretary (Mke): akamuuliza utakuwa wapi dear wangu au uko na mkeo...sasa hapo anayeuliza ni mke
Mume: Nina kikao na kazi za kiofisi niwe na mke wapi kwani hanifurahishi kama wewe penzi analonipa ni la kitoto sana wewe honey wangu nakupenda tena natamani niachane na huyu mshenzi ( mke) sema tuu nimeshafunga naye ndoa na tuna watoto kwa hiyo naishi naye kama kuigiza tuu ni pumbavu (mke) sana we ndio la azizi wangu nakupenda na ulizaliwa kwa ajili yangu...sasa huyu shosti wangu kupata hii msg alichanganyikiwa na ameshindwa hata kufanya kazi zake jana...
sasa wana Jf wenzangu hebu nipeni maushauri hapa kwani hiyo jana nilimtuliza tuu nikamwambia atulie na leo jioni ndio nitaonana naye je nimshauri nini??
Ila jamani kwenye ndoa kuna mambo mengi sana...mume ana kosa na mke bestito wangu vilevile ana makosa...kutafuta presha na wakati maisha yenyewe ndo haya na kitendo cha kubadilisha number kwenye jina la secretary....