Wanaume/wanawake mlichopendea kwa wenza wenu ni nini.....hepi furahi day.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume/wanawake mlichopendea kwa wenza wenu ni nini.....hepi furahi day....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by tete'a'tete, Nov 4, 2011.

 1. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hepi furahi day brodaaaaaz. & Sistaaaaaaaazz....

  Hivi mwamaune akimwambia mwanamke ai mwanamke akimbwambia mwanauem amempenda huwa anaangaliaga nini??

  Maana weingine wanabase sana kwenye sura wengine maumbo hebu nisaidieni...hili swala huwa najiulizaga sana...

  na kila mmoja atoe mchango wake alimpendea nini mke/mume/girlfriend/mchumba/nyumba ndogo...

  nawakilisha mimi nilimpendea sana vidole vyake vya miguuni....na huwa nikiviangalia nasisimka mwili mzima...

  bye for now...
   
Loading...