wanaume,wanaume,mmmh!!!

Zneba

Senior Member
May 12, 2010
192
7
hivi kwanini wanaume huwa hawasemi ukweli jamani?anaweza akakutongoza na kukuonyesha anakupenda kabisa na akakufatilia kwa kila hali mpk ukaamini kuwa anakupenda,kumbe mwenzio anataka kupita tu ww ndo ukajiweka mazima moyo na mapafu pia.siku akikuchoka anakumwaga km hamjawahi kuwa watupu hata siku moja.kwanini lakini wanaume mpo hivyo?????????????????????????
 
Maskini pole sweetheart yamekukuta hayo? ukizaliwa na ukawekwa chini ya jua tegemea haya kutokea ..hawa hatujatoka nao tumbo moja hivyo sio ndugu zetu......
wapo wanaokuja kwa malengo maalum ya kubanjua amri ya sita na kukata kona
Wapo wanaokuja kwa nia ya kuongeza list ya wanawake aliowahi kutoka nao
Wapo wanaokuja kwa nia ya dhati kuwa na wewe lakini pilika za maisha zinawabadilisha
Na wapo wenye penzi la kweli kwa macho ya kibinadamu ni ngumu kuwatambua.
Funga kurasa na anza page nyingine ya maisha yako
 
hivi kwanini wanaume huwa hawasemi ukweli jamani?anaweza akakutongoza na kukuonyesha anakupenda kabisa na akakufatilia kwa kila hali mpk ukaamini kuwa anakupenda,kumbe mwenzio anataka kupita tu ww ndo ukajiweka mazima moyo na mapafu pia.siku akikuchoka anakumwaga km hamjawahi kuwa watupu hata siku moja.kwanini lakini wanaume mpo hivyo?????????????????????????

kabla sijachangia dada Mwasu (Nafurahi leo ndo nimejua wewe ni she) Naomba nikuulize:

Wamekutongoza wangapi?
Umewakubalia wangapi?
Wamekumwaga wangapi?
Bado unao wangapi unaotegemea watakumwaga wakati wowote?

Otherwise sielewi umejuaje kama wanaume wako hivyo?
 
Mimi huwa nasema ukweli mtupu...! Lakini nanyi mkiambiwa ukweli hampatikani, mnapenda kudanganywa....! Aidha, njoo kwangu uone nilivyo mkweli...!
 
sasa kama hatupatikani si unaacha unaenda tafuta mwingine ambae anapatikana kwa urahisi? kwani shida yako si ni kumega tu pia wapo wadada ambao wanataka tu kumegwa ukiishia poa hajali
 
kabla sijachangia dada Mwasu (Nafurahi leo ndo nimejua wewe ni she) Naomba nikuulize:

Wamekutongoza wangapi?
Umewakubalia wangapi?
Wamekumwaga wangapi?
Bado unao wangapi unaotegemea watakumwaga wakati wowote?

Otherwise sielewi umejuaje kama wanaume wako hivyo?

wamenitongoza wengi tu
nimewakubalia wachache
kubwagwa kati ya wote ni mmoja tu aliefanikiwa wengine huwa nawawahi
sina anaetegemea kunimwaga cause wengi wanaokuja sasa ni wanaonekana kabisa ni tamaa ya kimwili inayowaleta na c mapenzi
 
Nafikiri Asprin alikuwa anahitaji idadi (figures) na sio kuishia kusema wachache/wengi,!
Hapo kwenye red, inaonyesha uliwakubalia wachache tu, lakini kati ya hao wachache ni mmoja tu ndo uliemwaga!ina maana hao wengine wachache bado wanachakachua....................!!!!!1
 
te he te he, raha ya maisha ni kuwadanganya na kuwabanjua nyie... Mna tamaa sana, mkipewa kdogo mkwanja mmejaa. Wacha tuwafaidi. Tulieni.
 
Hivi DA, wanawake huwa hawana tamaa za kimwili eeeeeeh?

Mie sidhani kama wanawake wanatamaa ya kimwili maana mwanamke huwa na vigezo vyake mfano: Unavaa vizuri, una pesa, una kazi nzuri, nk kwa mwanzo lakini. itafika sasa wakati wa majambozi sawa unakazi nzuri ila 6*6 hakuna kitu hapo umekwisha. Wanawake wanaangalia mwanzo vitu mwisho majambozi je umo?! Au anaweza tu kutest kwa ambaye hata havutii ila kutokana na stress za mume wake anatest hata kwa shamba boy, drive nk anakuta mambo mswano hapo ni ile ya pili ndo inaaply ya kwanza kapuni. Maoni yangu haya si ya mtu mwingine
 
Mimi huwa nasema ukweli mtupu...! Lakini nanyi mkiambiwa ukweli hampatikani, mnapenda kudanganywa....! Aidha, njoo kwangu uone nilivyo mkweli...!
ndo walewale tu hakuna jipya unasema ukweli wapi baba yenu mmoja nyie
 
Pole Mamito....but ndio kukua huko......by the time unasettle hakutakuwa na wa kukudanganya tena .

Kwa kweli hayatabiriki
 
Mie sidhani kama wanawake wanatamaa ya kimwili maana mwanamke huwa na vigezo vyake mfano: Unavaa vizuri, una pesa, una kazi nzuri, nk kwa mwanzo lakini. itafika sasa wakati wa majambozi sawa unakazi nzuri ila 6*6 hakuna kitu hapo umekwisha. Wanawake wanaangalia mwanzo vitu mwisho majambozi je umo?! Au anaweza tu kutest kwa ambaye hata havutii ila kutokana na stress za mume wake anatest hata kwa shamba boy, drive nk anakuta mambo mswano hapo ni ile ya pili ndo inaaply ya kwanza kapuni. Maoni yangu haya si ya mtu mwingine

lakini DA , Kuna akina dada humu waliwahi kuchangia kuwa wanazimika na mwanaume mrefu, mwenye kifua kipana, handsome n.k.!sasa je, wanawake wanapowaona wanaume wenye sifa hizo mabarabarani hawapati tamaa kweli ya kuwa nao karibu kwa mapenzi hivi??
 
Pole Mamito....but ndio kukua huko......by the time unasettle hakutakuwa na wa kukudanganya tena .

Kwa kweli hayatabiriki

Lakini MJ1, huyu binti mpaka anasettle kama unavyosema, si atakuwa ameshatembea na msururu wa wanaume au??
 
lakini DA , Kuna akina dada humu waliwahi kuchangia kuwa wanazimika na mwanaume mrefu, mwenye kifua kipana, handsome n.k.!sasa je, wanawake wanapowaona wanaume wenye sifa hizo mabarabarani hawapati tamaa kweli ya kuwa nao karibu kwa mapenzi hivi??

Sijakataa nimekwambia wanawake hutamani mara mbili kwanza nje kama hayo mambo ya HB, Kifua kipana nk si ni mambo ya nje hayo? Then akishamaliza kutamani hapo tunaingia 6*6 hapo suluhisho akiona miyeyusho pamoja na uHB wako unaachwa mchana kweupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Dena my new friend.....unaweza nifafanulia uyeyushaji kwenye sita kwa sita unamaanisha nini?
 
Tatizo mkishagundua jamaa anakupigia misele sana mnamwona ***** na kumdharau ndo mana tukishachovya tunanawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom