Wanaume wanasononeka zaidi wanapokosa watoto

sisi kinachotutesa na yale manyanyaso na maneno kutoka kwa wakwe na mawifi......
ambao wao wanadhaniaga kuwa kukosekana kwa mtoto ni udhaifu wa mama
maneno yao huumiza zaidi
 
wawe wanakubali kwenda kupima
sio kusononeka na kumlaumu mke mgumba
kumbe saa zingine dume lina mushkeli!!kila kitu
wanawake leo khaaaa!!
 
  • Thanks
Reactions: Izz
sisi kinachotutesa na yale manyanyaso na maneno kutoka kwa wakwe na mawifi......
ambao wao wanadhaniaga kuwa kukosekana kwa mtoto ni udhaifu wa mama
maneno yao huumiza zaidi
kumbe huwa mnafurahia eee maana yake nyie huwa mnafurahi wanaume wafe bila watoto ili mrithi mali sio? Kama nimekosea nielewesheni
 
Naweza sema wote wanasononeka, yaani KE na ME lakini mwanamke anatiwa unyonge zaidi na presha ya upande wa pili, hapa nawazungumzia mawifi na wakwe hasa wa kike (baadhi) ni balaa!
 
kumbe huwa mnafurahia eee maana yake nyie huwa mnafurahi wanaume wafe bila watoto ili mrithi mali sio? Kama nimekosea nielewesheni

huwa hatufurahii tunaumia
lakini tunaumia zaidi pale wanapoanza kutusema vibaya
so we bear the pain twice......,
 
Back
Top Bottom