Wanaume wanapenda kukimbia matatizo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume wanapenda kukimbia matatizo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Penelope, Oct 23, 2012.

 1. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 654
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 80
  Katika jamii zetu hasa za kiafrika,nimekua nikiona wanaume wengi hasa kwenye ngazi ya familia ama mahusiano matatizo yanapotekea wanakua wakwanza kuondoka.
  Mfano,mtoto akizaliwa na kasoro fulani eg ulemavu wa ngozi,utindio wa ubongo,ama tatizo lengine la kiafya basi mzigo wote ataachiwa mama,hata ukienda hospitali huezi kuta baba anahaingaika ama ana kua bega kwa bega na mama katika kumhangaikia mtoto.kama vile kilichotokea ni kosa la mama.

  Kwenye mahusiano,wanawake wengi wanaeza kuvumilia makwazo ya hali ya juu yanayofanywa na wanaume lakini asilimia chache ya wanaume kuvumilia wenza wao ama familia inapokumbwa na upepo mmbaya,,,sana sana kwao solution ni kuondoa(kukimbia tatizo na sio Kutatua tatizo),,
  Mawazo yeni juu ya hilo......
   
 2. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  m/ke mna moyo wa kuvumilia zaidi so mnabaki. pia realistically sioni dada akimtupa mwanae kisa mlemavu though haimaanishi haitokei, its just takes a very hard heart
  mr bluu
   
 3. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Kweli wanaume wengine wanaroho za paka hawajali hata kidogo,hapa jirani yetu hufikia kusema ah ningejua wala nisinge zaa na wewe unanizalia wendawazimu lakin huyu mtoto alizaliwa sawa sijui alipatwa na madhila gani akawa kama chizi...
   
 4. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Naona wameukimbia na uzi huu, sijui wamehisi matatizo!
   
 5. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  LOL. mmetushika pabaya (and not in a good way)
   
 6. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Mimi wa kwangu, nikimkamata pabaya anaishia kusema "nitakupigia baadaye", inakuwa imetoka hiyo. LOL
   
 7. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Big no! Usiseme wanaume wengi sana sema baadhi tena ni hao uliowaona tu,haingii akilini upate mtoto mwenye matatizo then ukimbie nyumba haiwezekani ni ngumu sana.
  Tena nijuavyo mimi kina baba tulio wengi tunahuruma sana kushinda hata kina mama.
   
 8. V

  Von Mo JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1,830
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  hapana kukimbia, Kwanini ukimbie Matatizo....Mwanaume kamili lazima utatue matatizo kifedha(kama unazo), kiushauri(ktk familia), ushirikiano kwa jamii inayokuzunguka...n.k
   
 9. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Kuconfront matatizo ni malezi toka katika familia aliyolelewa mtoto hadi kuja kuwa baba wa familia.
  Wengi wa wanaume wanaokimbia matatizo na wale ambao hawajalelewa kukabilina na matatizo.
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  hii ni kweli kabisa.....
  Sijui ni ubinafsi wa wanaume au nini....
  Nimeshuhudia mbaba mwanae wa chuo kikuu alipaya ajali na kulazwa, mama alishinda hospitali, baba alipofika tu akaaga, baadae wakamkuta bar jirani na kwake.......

  Angali kwenye ndoa mume akipata tatizo, mke atakuwa bega kwa bega, ila mwanaume ataenda kuoa 'mke' mwengine kisa mkewe hawezi kumhudumia kwa wakati huo
   
 11. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Watakwambia alienda kupunguza mawazo. Wapi Asprin abishe!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 654
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 80
  Yani hapo umenena vizuri sana mkuu
   
 13. p

  peter daudi Senior Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 16, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kabisa si vizuri kukimbia matatizo.Lakini sina takwimu halisi ni yupi huwa anakimbia matatizo.Na ushauri wa bule kwa wadada "kuweni makini na vyakula kwani ni miongoni mwa visababishi vya matatizo kama vile ulemavu".
   
 14. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mada yako penelope ina ukweli kiasi fulani but not every man anakimbia matatizo,nadhani hii utakuwa umejumuisha kwa hao wanaume uchwara wachache ulioweza kuwaona wakikimbia their problems then ikakufanya utoe a general statement. Pengine research yako ingeonyesha kwamba kati ya wanaume 10 waliofanyiwa research imeonekana labda 6 wanakimbia matatizo ktk mahusiano yao. Mimi mbona huwa sikimbii matatizo sana sana nakomaa mpaka solution ipatikane,hakimbii mtu hapa hata kidogo. Mimi naomba unitoe ktk hilo kundi la wanaokimbia matatizo,only me hao wengine watajisemea wenyewe.Nawasilisha my dia PENELOPE!!!!!!!
   
 15. Mzalendo wa ukweli

  Mzalendo wa ukweli JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  Mbona tupo Kaunga au hujatusoma comments zetu? Tukimbie na uzi huu tena jaman ha ha haaaaaaa hakimbii mtu hapa mpaka kieleweke!!!!!!!
   
 16. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Wanaokimbia matatizo hao ni 'DHAIFU' na si wanaume bali ni WAKIUME
   
 17. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 654
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 80
  Ok nimekupata lakini ndo mana nimesema wengi wao hufanya hivo,usijiongelee mwenyewe,hii hali ipo hasa katika jamii zetu za kiafrika hata hapa kwetu,usiangalie ulivo but jamii as a whole,,wala usiangalie wanaume wa hapa mjini waliosoma na kuelimika.
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mhhhhhhh..................
   
Loading...