Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,924
- 3,904
Hivi inakuaje kidume unamtegemea mwanamke kwa kila kitu? Yani kidume vocha, mavazi, chakula, hela za hapa na pale anaomba kwa mke/mchumba wake na wala haoni aibu kabisa. Ni aibu sana kwa kweli kwa mwanume kutegemea kila kitu kutoka kwa mkeo/mchumba wako.
Mwanaume sharti uhangaike, hata kwenda kubeba zege ni sawa tu kikubwa upate chochote. Yani unakuta kidume kinasubiria mshahara wa mke wake/mchumba wake na kupangia matumizi kabisa. Huu ni ujinga kabisa.
Sina nia mbaya kuwasema vudume wenzangu, ila naona ni ubwege kutojituma na kutafauta hela za kuitunza familia na kutegemea mwanamke.