Wanaume wanaotunzwa na wake/wachumba zao njoni hapa

Majighu2015

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,924
3,904
Hivi inakuaje kidume unamtegemea mwanamke kwa kila kitu? Yani kidume vocha, mavazi, chakula, hela za hapa na pale anaomba kwa mke/mchumba wake na wala haoni aibu kabisa. Ni aibu sana kwa kweli kwa mwanume kutegemea kila kitu kutoka kwa mkeo/mchumba wako.

Mwanaume sharti uhangaike, hata kwenda kubeba zege ni sawa tu kikubwa upate chochote. Yani unakuta kidume kinasubiria mshahara wa mke wake/mchumba wake na kupangia matumizi kabisa. Huu ni ujinga kabisa.

Sina nia mbaya kuwasema vudume wenzangu, ila naona ni ubwege kutojituma na kutafauta hela za kuitunza familia na kutegemea mwanamke.
 
Mwanaume halisi ameumbiwa aibu.
Mwanaume halisi ameumbiwa Utawala ndani yake 'Atoaye mahitaji ndo anatawala'
Mwanaume halisi anajisikia vibaya sana kula jasho la mwingine
Mwanaume halisi anapenda heshima (atoaye mahitaji huheshimiwa)
Mwanaume halisi ANA UTU.
Mwanaume halisi anachukia uonevu.

Uanaume ni kazi kweli kweli.
 
Sio poa na haijakaa vizuri sie tuliletwa kuwapa tamu tu sio kuvuja jasho
Kapeace we unawazaga mgegedo/kuchenjuliwa/kupembuliwa tu.
kwenye Mada,sio poa Mwanaume kumtegea mwanamke ni kunajisi sheria ya asili na kukimbia majukumu.
 
Back
Top Bottom