Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 247
Nasikia kwenye maonyesho ya taarab huwa kuna jaa sana mashoga wanaojiuza na pia mabasha wanaotafuta mashoga. Je ni kweli kwamba muziki huu una uhusiano wa jirani na ushoga?
mwanaume utapendaje taarab? muziki gani unachezwa kwa kukatika ukiwa umeinamia kiti?
?....ondoa hiyo alama ya kuuliza hapo mwisho...weka nukta mkuu!!
wewe taarabu ina raha yake hasa unapo mbashia jimama lenye masaburi makubwa full raha ile mbaya..
Haswaa, wala hujakosea hapa,kila mtu ana aina yake ya music anaopenda kusikiliza na kucheza, taarabu inapendwa na watu wa pwani ambako ndio asili yake kutokana na kuenea kwake sasa hata watu wa bara siku hizi wanaupenda,sidhani kama ina uhusiano na mashoga kwani hata club mashoga wanajazana tu kwenye band ndio usiseme.Tatizo wa Tanzania Wengi ni ant social, hivi na lile kanisa la kkt linauhusiano na mashoga, kuna wanamuziki kibao wa kimataifa ni mashoga tena wanaojitangaza ila wewe ndio mshabiki wao mkuu. Ushoga ni hulka ya mtu wala hakuna uhusiano wowote na taarab.
wewe taarabu ina raha yake hasa unapo mbashia jimama lenye masaburi makubwa full raha ile mbaya..
Nimeipenda hii mkuu!Tatizo wa Tanzania Wengi ni ant social, hivi na lile kanisa la kkt linauhusiano na mashoga, kuna wanamuziki kibao wa kimataifa ni mashoga tena wanaojitangaza ila wewe ndio mshabiki wao mkuu. Ushoga ni hulka ya mtu wala hakuna uhusiano wowote na taarab.
nasikia kwenye maonyesho ya taarab huwa kuna jaa sana mashoga wanaojiuza na pia mabasha wanaotafuta mashoga. je ni kweli kwamba muziki huu una uhusiano wa jirani na ushoga?
Binafsi napenda MCHIRIKU sijui unahusiana na
kina nani ili kama vipi niachane nao!
lisemwalo......! Ok sasa ni kwamba huu mziki ukiwakuta 10 wanaupenda 4 kati yao ni mashoga ila kwamfano wanaopenda hipop ukiwakuta 10 bac 4 wanavuta bang kwahyo kutokana na hayo maelezo nakonklud kwa kusema taarab ni moja ya kijiwe cha mashoga japo si wote wanahusika!
miziki ya wezi na wavuta bange :bange: wa Tandika