Wanaume wanaopenda kununa

Kuna baadhi ya miwanaume inayopenda kununa inakera sana.

Nilikuwa na boyfriend wangu yani kila ikifika Ijumaa lazima litafute sababu ya kugombana ili linune weekend yote. Unakuta wewe mwenyewe unataka mpalange lenyewe limenuna.

Na nimefanya utafiti wangu nimegundua wanaume wengi wa aina hii huwa hawawezi hata kuishi kwenye maisha ya ndoa.

Acheni kununanuna ovyo wababa
"Unataka Mpalange?" .....wow!! Mkuu huwa unapenda sana kupelekwa buza?

Ama kweli penye miti hapana wajenzi.....
 
Wanashindana na wanawake, hawajui kuwa wanaheshima sana ndani ya familia....huo ni umama
 
Labda unachanganya kati ya Wanaume na Watoto, angalau Mwanamke akinuna inaweza kukubalika na kueleweka lakini Mwanaume kununa? Basi ujue huyo ana arrested development au amefubaa kiakili, jaribu ku-date Wanaume na siyo watoto.
Nimejifunza kitu....kumbe akili inakuwa imefubaaa
 
Wakuu, kwa mpalange ni wapi? Au ana maana gani kupelekwa kwa mpalange. Sisi vijana wa zamani hizi lugha ni gongana kabisa.
 
Kuna baadhi ya miwanaume inayopenda kununa inakera sana.

Nilikuwa na boyfriend wangu yani kila ikifika Ijumaa lazima litafute sababu ya kugombana ili linune weekend yote. Unakuta wewe mwenyewe unataka mpalange lenyewe limenuna.

Na nimefanya utafiti wangu nimegundua wanaume wengi wa aina hii huwa hawawezi hata kuishi kwenye maisha ya ndoa.

Acheni kununanuna ovyo wababa
Ukute alikuwa anajutia kumsaliti mke wake
 
Back
Top Bottom